Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mtangazaji anasema tangu Nwaneri aingie RW kumekua live.
 
Huyu Gordon alimvuta Kai, hajagewa kadi.

Yeye kavutwa kadi imetoka
 
Huyu Gordon alimvuta Kai, hajagewa kadi.

Yeye kavutwa kadi imetoka
Yap..unaangalia aliyevutwa alikuwa kwenye position gani. Gordon asingevutwa alikuwa anatoa pasi ya mwisho kwa Isack na ingeleta goli la pili. Ile ya Kai haikuwa na hatari yoyote hata asingevutwa.
 
Hii injury ya Martinelli imekuja wakati mzuri kuonyesha madudu anayoshikilia Arteta.

Wote tunajua Martinelli RW haiwezi, na mtu anaeiweza yuko nje, lakini bado kocha anaanza na kikosi kile kile kilichocheza na City.
 
Arsenal hii game mkipindua nitawapa Kongole

Ila naona Newcastle akishinda goli zaidi ya mbili
 
Huyu Gordon alimvuta Kai, hajagewa kadi.

Yeye kavutwa kadi imetoka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wazee wa kulialia tayari mmeshaanza, mkionaga tu mambo magumu mnatafuta visababu vya kipuuzi.
Leo Arteta atalalamikia mpira ulikua hauna upepo wa kutosha.
1728754209983.jpg
 
Back
Top Bottom