BONNIE GOLD
JF-Expert Member
- Jan 27, 2021
- 414
- 805
Uzuri si mnakuwa mnafocus na ligi na UCL. 😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio rahisi hivyo...sio Man City hii.Just kucut in na kushut wapuuzi wanashindwa
Point yako ni kwamba city ni wabovu?Sio rahisi hivyo...sio Man City hii.
Yap..unaangalia aliyevutwa alikuwa kwenye position gani. Gordon asingevutwa alikuwa anatoa pasi ya mwisho kwa Isack na ingeleta goli la pili. Ile ya Kai haikuwa na hatari yoyote hata asingevutwa.Huyu Gordon alimvuta Kai, hajagewa kadi.
Yeye kavutwa kadi imetoka
Sana, sana, sana.Point yako ni kwamba city ni wabovu?
Kupindua inawezekana ila kufuzu ni ishuArsenal hii game mkipindua nitawapa Kongole
Ila naona Newcastle akishinda goli zaidi ya mbili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wazee wa kulialia tayari mmeshaanza, mkionaga tu mambo magumu mnatafuta visababu vya kipuuzi.Huyu Gordon alimvuta Kai, hajagewa kadi.
Yeye kavutwa kadi imetoka
Agenda must Agend brotherHuyu Gordon alimvuta Kai, hajagewa kadi.
Yeye kavutwa kadi imetoka
Umebeti magoli? Mpe Nyukesto Ov 1.5Nyie kenge embu pateni goli aise
Ngoja tuone kama mtapinduaKupindua inawezekana ila kufuzu ni ishu
SidhaniUmebeti magoli? Mpe Nyukesto Ov 1.5
Weka hati ya nyumba
Aweke Nini Mkuu 😂Umebeti magoli? Mpe Nyukesto Ov 1.5
Weka hati ya nyumba