Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Neville simfuatilii kabisa. Sina muda wa kupoteza kusikiliza chochote asemacho. Carragher namcheki akiwa na Titi, Big Meeks na Kate Scott. Hiyo ndiyo punditry team yangu pendwa. Ila popote pale pengine, simsikilizi Carragher.
Carra akiwa na Titi vs akiwa na Neville ni watu wawili tofauti
 
Irekodiwe kwamba wana wamekuja kupaki basi.

We need through balls, long balls na long range shooting kwenye hii drama

Screenshot_2025-02-05-22-13-54-389_com.mobilefootie.wc2010-edit.jpg
 
Irekodiwe kwamba wana wamekuja kupaki basi.

We need through balls, long balls na long range shooting kwenye hii drama

View attachment 3226374
Mamaee 🤣🤣🤣

Kwa Mid ya Øde mzee wa vi-skills bila kushoot hatutoboi hii mbungi 😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾

Tukutane mwakani tena wazee, kama huna moyo mgumu hii gemu bora usipoteze usingizi wako
 
ISAAAAAK, naona VAR inaenselea kuwabeba pumbaf zenu.
 
Hii mechi tukiendelea kucheza highline tutaendelea kupasuka jamaa wanakimbia sana halafu wako clinical
 
Havertz anataka kupigana hapa baada ya kupoteza mpira. Anazawadiwa Yellow ya haraka haraka.
 
Back
Top Bottom