Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Shida ni kwamba tatizo letu hatuna attack ambayo itatubeba kwenda kwenye kombe
 
Niliwaambia Liverpool tutamkamata February, hesabu zangu bado zipo valid

Liverpool upcoming games
Man city vs Liverpool
Liverpool vs Newcastle

Arsenal upcoming games
Arsenal vs westham
N. Forest vs Arsenal

UEFA or EPL moja letu
Shida yetu tunaweza angusha point kwenye game ambayo tunapaswa kupata pointi
 
Robin van Persie when asked about where he considers himself at HOME:

"For me, only Manchester United is home, they gave me my first PL championship and applauded even when I scored against United in Europa League with Fenerbarçe.’’

‘’As for Arsenal, the fans here are willing to give up my shirt even though I have devoted 8 years to the club. I really don't want to go there again."
 
8 years vitandani kwetu. Mpuuzi
 
Watu wanalalamika online

Kwanini timu za EPL zipo pamoja.

Same na Germany.

Barca anacheza tena na Benfica.

Inasemekana hii set up ni ili Madrid akutane na Liver.

Wanaamini ni set up
 
Niliwaambia Liverpool tutamkamata February, hesabu zangu bado zipo valid

Liverpool upcoming games
Man city vs Liverpool
Liverpool vs Newcastle

Arsenal upcoming games
Arsenal vs westham
N. Forest vs Arsenal

UEFA or EPL moja letu
Bora wewe umebaki. Hamisi amehamia unyumbuni mazima.
 
Partey pia ni moto wa mkaa. Huwa anachukua muda kukaa kwenye rhythm na akikaa anawaka muda mrefu. Ila pia ni mwepesi wa kupata injuries za kumkalisha nje muda mrefu. Atakupa mechi 2-3 mbovu ila baada ya haop atakupa hata 10 kali, kama akiweza kukaa fit. Kwa hilo muweke kundi moja na kina Jesus.
 
Watu wanalalamika online

Kwanini timu za EPL zipo pamoja.

Same na Germany.

Barca anacheza tena na Benfica.

Inasemekana hii set up ni ili Madrid akutane na Liver.

Wanaamini ni set up
Wanapanic tu. Huu mfumo mpya hauna seeding kwa timu za association moja. Kinachokutanisha timu ni nafasi walizomaliza kwenye league phase pamoja na waliotoana kwenye play-off. Timu zikifanikiwa kupita league phase, hakuna cha kukwepesha timu za association moja. Ni wa 9 atakutana na wa 17, wa 10 na wa 18, wa 11 na wa 19, nakadahalika. Ndiyo maana PSG alikutana na Brest. Baada ya hapo pia bahati nasibu iko clear.

Binafsi nimeuona ni mfumo mzuri ila unahitaji bahati nzuri na consistency kwa sana kutoka kwa washiriki. Points 9 au 10 hazitoshi tena kukuvusha kama enzi za groups. Sasa unahitaji zaidi ya points 15 kuingia top 8 na si chini ya 10 kubaki top 24. Yaani kidogo tu unaweza jikuta uko nje ya top 8 au nje ya michuano kirahisi mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…