Acha kutukumbusha mambo ya mwaka juzi na jana.Niliwaambia Liverpool tutamkamata February, hesabu zangu bado zipo valid
Liverpool upcoming games
Man city vs Liverpool
Liverpool vs Newcastle
Arsenal upcoming games
Arsenal vs westham
N. Forest vs Arsenal
UEFA or EPL moja letu
Tuongeze intensity tu, magoli atafunga yeyote. Me ninachokiona sometime tupo slow sana, tunakuwa predictableShida ni kwamba tatizo letu hatuna attack ambayo itatubeba kwenda kwenye kombe
Huyu mtoto fala kweli.Robin van Persie when asked about where he considers himself at HOME:
"For me, only Manchester United is home, they gave me my first PL championship and applauded even when I scored against United in Europa League with Fenerbarçe.’’
‘’As for Arsenal, the fans here are willing to give up my shirt even though I have devoted 8 years to the club. I really don't want to go there again."
Alikuwa anacheza mechi 5 msimu mzima anarudi kwny meza ya matibabu.....kala Pesa ya bure sana ya Arsenal halafu anategemea tumkubali kwa undava alotufanyia baada ya kuona kapona kabisa na akatutosa....ilitakiwa tupangwe na wale Feyernood tukutane naye azomewe mwanzo mwshoHuyu mtoto fala kweli.
Huyu bwege na Ashley Cole mimi sitawasamehe aslani.Alikuwa anacheza mechi 5 msimu mzima anarudi kwny meza ya matibabu.....kala Pesa ya bure sana ya Arsenal halafu anategemea tumkubali kwa undava alotufanyia baada ya kuona kapona kabisa na akatutosa....ilitakiwa tupangwe na wale Feyernood tukutane naye azomewe mwanzo mwsho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Punguzeni hasira ndugu zangu, mtaishia kujipa maradhi ya moyo pasi na sababu zozote za msingi.Alikuwa anacheza mechi 5 msimu mzima anarudi kwny meza ya matibabu.....kala Pesa ya bure sana ya Arsenal halafu anategemea tumkubali kwa undava alotufanyia baada ya kuona kapona kabisa na akatutosa....ilitakiwa tupangwe na wale Feyernood tukutane naye azomewe mwanzo mwsho
Tupo pamoja sana mazeeBora wewe umebaki. Hamisi amehamia unyumbuni mazima.
Flano unajisahau sanaNa mnashuka daraja msimu huu🤠🤠🤠....mechi mlizobakisha zote ni vichomi kwenu....
Anakua na account mbili alafu anakua msahaulifuFlano unajisahau sana
Sasa anapata faida gani huyu jamaaAnakua na account mbili alafu anakua msahaulifu