[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ombeni sana leo mshinde ndio itakua salama yenu, vinginevyo tutawajazia nzi humu.Flano unajisahau sana
Anachotufanyia Bisaka leo basi tu, ile move ya goli niliona kabisa hapa tunaenda kulala…
Mkuu game bado sana hii, Fanya kutuombea dua njema Mtoto mzuri Nifah ale wkend fresh
Nakumbuka mechi iliyopita dhidi ya Leicester ulipanic hadi kipindi cha pili hadi ukanywa maji.Anachotufanyia Bisaka leo basi tu, ile move ya goli niliona kabisa hapa tunaenda kulala…
Hebu ngoja tuone SH itakuwaje.
Pamoja mkuu 😆😆. For our Nifah I will pray hard Arsenal to win 2-1Mkuu game bado sana hii, Fanya kutuombea dua njema Mtoto mzuri Nifah ale wkend fresh
Ile tulipelekewa moto kinoma bora hii, hii tukitulia tunatoboa.Nakumbuka mechi iliyopita dhidi ya Leicester ulipanic hadi kipindi cha pili hadi ukanywa maji.
Wapo wengi ila mbona tumepenya tukamchungulia kipa mara nyingi? Tumekosa umakini tu ile FH ilibidi tuondoke hata na 2-1.Westham kama wapo wengi hivi, nyuma wapo wengi na kwenye kushambulia pia wapo. KESI IMESHAKUA NGUMU HUKU
Mtaalamu wa kulainisha mambo Zinchenko ameingia, ebu ngoja tuoneWapo wengi ila mbona tumepenya tukamchungulia kipa mara nyingi? Tumekosa umakini tu ile FH ilibidi tuondoke hata na 2-1.
Kwani mlikua mna uhakika mtakua mnashinda kila mechi?Anachotufanyia Bisaka leo basi tu, ile move ya goli niliona kabisa hapa tunaenda kulala…
Hebu ngoja tuone SH itakuwaje.