Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kikosi hakija balance pia kikosi chetu kipo kama pyramid Kadri unavyopanda juu ndio upana wake unavyopungua,kina mabeki wengi,viungo wengi halafu striker wa maana hamna.
 
Kuna kipindi humu ndani tuliwahi kushangaa kwanini Arteta hamuweki White DM.

Usininukuu vibaya. Mabeki washakua DM, DM washakua mabeki ila Arteta hakufanya hivyo.

Trent aliwahi kuwekwa DM aliperform hovyo. Naona na leo kenge wamemuweka James DM kichekesho kilichotokea ndiyo unajua kwanini Arteta anamuacha White RB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…