HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 2,952
- 5,583
Ukweli mchungu huu usiulete huku sasa hiviMhuni mwakani anarudi pale pale miaka 20 ya kipara epl atachukua mara 14 ,Arsenal ataendelea kuwa muhanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli mchungu huu usiulete huku sasa hiviMhuni mwakani anarudi pale pale miaka 20 ya kipara epl atachukua mara 14 ,Arsenal ataendelea kuwa muhanga
Huyo mchezaji ni wa kawaida kushinda kawaida yenyewe ,kawaida inamshanga,usinga angepewa Saliba ,Saka,Patey,Gabriel sio huyo kawaida .Mchezaji kapoa sanaHivi kwa nini Odergard ni kaptein wa Aseno!??? He is so avereage… ubora wake ni upi?!
We mwanamama unaquote hadi quotes za mwezi uliopitaNa bado😂😂😂😂
Utajua mwenyewe 🤣🤣🤣🤣We mwanamama unaquote hadi quotes za mwezi uliopita
Hasa hasa kila mnapoingia january/february, kila mtu anajipigia tu.What disturbs me, when we are at this stage of the league, we normally lose against nonentities