Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyie KENGE MAJI, wakati wenzenu weekend hizi tunacheza haya mashindano ya FA na EFL nyie mnakuwa wapi? Mnajificha wapi?

Yaani unakaa wiki nzima timu yako haijacheza hivi mnajisikiaje?

Au mida hii mbakuwa kwa michepuko yenu maana ndio kitu pekee mnaweza.
 
Kumbe lilikuwa ni suala la muda tu, haya mmefika wapi?
 
Arsenal ni kama kichekesho, sometimes mnatia huruma ! Forward Line ya nwaneri, trossard na Merino ndio mnategemea kubeba nayo UCL na EPL ? Kichekesho cha mwaka,,,, ! Sina shida na waholanzi Leo, mtawapiga labda mshindwe tu,,,, vp huko mbele mtatoboa ? Tuje benchi sasa wako kina sterling, ,,,
 
Arteta angebeba hata kokolo mojawapo ambalo ni striker, lakin kuanza kumfanya merino ndo striker wetu aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…