Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hatuna shida zaidi ya majeruhi, timu ninayoihofia ni Real Madrid sababu ya ubora wao, Atletico na inter watatupa a good game sababu ya low block na counter, wengine sina hofu nao kabisa.
 
Kwahiyo liverpool washafika semis?
 
Kuna kila dalili unaweza kufa bila kushuhudia epl au uefa ikibebwa na arsenal ,nimelia sana
Kuna mshkaji wangu wa Arsenal lia lia, nilikua namwambiaga hivi hivi, soo sad kafa juzi kwa ajali imeniuma sana aisee, sahv sina wa kumcheka dah!
Imeniuma sana.I wish angeshuhudia Arsenal yake ikibeba ubingwa kabla hajafa.
 
Arsenal kashinda goli saba lakini cha ajabu washabiki wa soka hawaipi nafasi kabisa ya kuchukua ndoo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa baiskeli ya kunolea visu unaipaje nafasi ya ushindi kwenye mashindano ya mbio za baiskeli?
Arsenyo ni sawa na baiskeli ya kunolea visu au jenereta, mikelele mingi ila kila msimu ipo palepale tu.
 
Kuna mshkaji wangu wa Arsenal lia lia, nilikua namwambiaga hivi hivi, soo sad kafa juzi kwa ajali imeniuma sana aisee, sahv sina wa kumcheka dah!
Imeniuma sana.I wish angeshuhudia Arsenal yake ikibeba ubingwa kabla hajafa.
We jamaa unauma ukipuliza😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…