Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bean hako kaconfidence anakatoa wapi ati? mara analalamika injuries mara sijui nini, ataendaje huko top wakati squad yake haijatulia right at the begininng of the season?

...bana wee, yaani mwaka wa nne huu maneno hayohayo, mwisho wa ligi husema eti msimu ujao watarudi much improved and stronger, halafu soma hapa chini...


...kuna wachezaji wapo pale Arsenal kupatiwa matibabu tu!...

Bro BaK upoooo? unakumbuka ule mzozo wa Arsene Wenger na Theo Walcott kung'ang'ania kuchezea England Under 21, na England seniors? matokeo yake ndio haya sasa... hata ligi haijaanza keshakuwa 'overworked'
 
mechi ya kesho ndio itatupa jibu kamili kuhusu msimu wetu wakuu.kwahio tumpe nafasi wenger tuone atatu prove wrong vipi kesho?
 
mechi ya kesho ndio itatupa jibu kamili kuhusu msimu wetu wakuu.kwahio tumpe nafasi wenger tuone atatu prove wrong vipi kesho?

Everton wana record nzuri ya kutopoteza mechi 'nyumbani'...
Msimu uliopita game ya kwanza tuliwachapa 3 - 1 Imarati.

duru la pili ndani ya Goodison park wakatushika koo, suluhu ya 1 -1.
Kuna kila dalili mechi ya kesho ikaishia na suluhu.
 
]...bana wee, yaani mwaka wa nne huu maneno hayohayo, mwisho wa ligi husema eti msimu ujao watarudi much improved and stronger, halafu soma hapa chini...

Babu anafikiri mpira ni confidence ya mdomo, kumbe anatakiwa awe na kikosi imara then anakuwa na confidence hata mdomoni!

...kuna wachezaji wapo pale Arsenal kupatiwa matibabu tu!...
Ha!ha!ha!ha! mkuu umenichekesha sana hapa.......!
 

...napenda jinsi huyu mzee anavyojibu maswali!!
 
Dah, hiyo picha ya mwaka gani? Naona ribbons za enzi hizo lol.
Huyo Profesa wenu ana miaka kadhaa mbeleni kama si 'muongo' kamili kuweza kubeba tena kitu kama hicho..Lol!!!!

Mbu, upo? tehe tehe!

...ha ha haa...duh, jamaa mmetushika kooni hamtuachi?

Haya, kipyenga prrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.......EPL inaanza rasmi masaa machache yajayo, msemakweli tutamjua humu humu!...

baadae!
 
haya wakubwa list limeshatoka 4 3 3 formation.
almunia
sagna gallas varmelen clichy
cesc song denilson
ben,van persie,arshavin.
 
Naona Denilison kawapa goli. BAK na wenzake wataanza kuja sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…