Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kuna mwenye link ya live streaming, naona leo hawa Justin wananichezea kidogo tu wanasitisha!!
 
ahsante mkuu, ngoja nijaribu hii ya iraq niliwahi kutumia nikawa nimesahau! nkora.net nao miyeyusho kabisa!!
 
huyu jamaa ndio maana pundits wa uingereza hawampendi.kwa sababu hatumii hela lakini mambo makubwa.

anasema yeye anataka kufanya mambo kwa style yake, siyo lazima kuiga wengine katika matumizi ya pesa kwa ajili ya kutafuta makombe.
 
Hongera Arsenal..lakini hiki kikosi kitatoboza kweli maana mechi ni nyingi lakini ukiangalia wachezaji wa hakiba siyo wa kuamini..
 
Hongera Arsenal..lakini hiki kikosi kitatoboza kweli maana mechi ni nyingi lakini ukiangalia wachezaji wa hakiba siyo wa kuamini..
asante sana na hilo ndio swala kubwa uliotaja tutaendelea kuomba mungu atuepushe na majeruhi na huku wenger pia asajili wachezaji japo wawili ambao wataongeza depth.alete beki na defensive midfielder.
 
Back
Top Bottom