Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal kwa makeke nao hatuwawezi, hongereni ila hizi wiki mbili za mwanzo kwenu ni ngumu sana.

Alafu hawa Everton wafanye wamuuze huyo Lescott sasa kabla hajawa tatizo kubwa kwenye dressing room.

You can never ever write off the Gunners!
Wape Arsenal mpaka february.
 
Hongera Arsenal..lakini hiki kikosi kitatoboza kweli maana mechi ni nyingi lakini ukiangalia wachezaji wa hakiba siyo wa kuamini..

Crash, hata mimi swali langu kubwa baada ya kuangali mauaji ya Tofees leo ni- Je hawa Gunners wataweza kumantain performance kama hiyo hadi mwisho wa msimu? Kikosi ni kidogo sana ukilinganisha na the other big 4, tukipata majeruhi tu kwa mchezaji yeyote aliyecheza leo ni big problem. Bench leo kulikuwa na Eduardo na Eboue, wengine walikuwa wanajaza nafasi tu. Ni muhimu sana Wenger asajili kiungo mzoefu- hii central midfield ya Denilson na Song haitatufikisha mbali. Na pia anahitajika beki ambaye ana uwezo wa kucheza pale nyuma kama kiraka, singependa nimuone Sylvester akicheza pale katikati kwenye mechi za maana, wala sitaki nikaone kale katoto ka Gibbs kakiwekwa under pressure kwenye Champions league. Muda bado upo kabla dirisha la usajili halijafungwa na najua Wenger ana £40m, sijui kwanini anasita kuitumia.
 
Arsenal kwa makeke nao hatuwawezi, hongereni ila hizi wiki mbili za mwanzo kwenu ni ngumu sana.

Alafu hawa Everton wafanye wamuuze huyo Lescott sasa kabla hajawa tatizo kubwa kwenye dressing room.

Wape Arsenal mpaka february.

...msimu huu nimebadilisha namna ya ushangiliaji...halafu hiyo hongera halafu unaitia 'ila' hainogi!

Nawasubiria kesho! 😀

...halafu mnasemaje? mnatupa mpaka February? haaaya! 🙂
 
...msimu huu nimebadilisha namna ya ushangiliaji...halafu hiyo hongera halafu unaitia 'ila' hainogi!

Nawasubiria kesho! 😀

...halafu mnasemaje? mnatupa mpaka February? haaaya! 🙂

unaelewa Mbu haya magoli yenu naona kama mmewatafutia balaa Birmingham... acha tuone
 
David-Moyes-Arsene-Wenger-Everton-Arsenal-Pre_2347772.jpg

Denilson-Everton-Arsenal-Premier-League-PA_2347786.jpg

Cesc-Fabregas-Robin-Van-Persie-Everton-Arsena_2347820.jpg

Kudos the Gunners! Vijana walitandaza kandanda la uhakika.

Lakini huwa mnanikera ku-dissappoint huko mbele ligi itakapofikia hatua muhimu.
 
Hongera zenu vijana wa Mr. bean, mkuu BAK, mbu, GT na wengineo. Naona kama kawaida yenu mnaanza kuongoza ligi.

Ikifika december/january pumzi zimewajaa mpo hoi. Tusubiri mambo yatakavyokuwa na hizo dozi zenu.
 
Ikifika december/january pumzi zimewajaa mpo hoi. Tusubiri mambo yatakavyokuwa na hizo dozi zenu.

Msimu mpya na mambo mapya....is not always the case tumekuwa tukifanya hivyo tangia mwaka 1993, je, tumekiwa tukishiwa pumzi mwisho wa msimu?
 
Wakuu, huyo Fab na mwenzie Eboue wakati wanashangilia goli waliishika hiyo jezi no 21 ya Jargue....ina maanisha nini hapo?

Mkuu... ni heshima na kumbukumbu kwa Dani Jarque, captain wa Espanyol aliyefariki kutokana na heart failure walipokuwa kwenye pre-season Italy.
 
...msimu huu nimebadilisha namna ya ushangiliaji...halafu hiyo hongera halafu unaitia 'ila' hainogi!

Nawasubiria kesho! 😀

...halafu mnasemaje? mnatupa mpaka February? haaaya! 🙂

Kumbuka ngoma ya watoto haikeshi, si unajua by February ndio uwa mnachemsha (fatigue) alafu na hizi World Cup qualifiers zitaongezea uchovu zaidi.

Nimetia ila kwa sababu mna mechi sita ndani ya wiki mbili kazi kwenu!
 
Arsenal kwa makeke nao hatuwawezi, hongereni ila hizi wiki mbili za mwanzo kwenu ni ngumu sana.

Alafu hawa Everton wafanye wamuuze huyo Lescott sasa kabla hajawa tatizo kubwa kwenye dressing room.

Wape Arsenal mpaka february.
Wewe wasema mkuu...Roho inawaumaaaaaaaaaa mpaka basi
 
Msimu mpya na mambo mapya....is not always the case tumekuwa tukifanya hivyo tangia mwaka 1993, je, tumekiwa tukishiwa pumzi mwisho wa msimu?
Well said mkuu...waache jamaa waendelee kukariri aisee,mambo yanabadilika
 
Back
Top Bottom