Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wape Arsenal mpaka february.You can never ever write off the Gunners!
Hongera Arsenal..lakini hiki kikosi kitatoboza kweli maana mechi ni nyingi lakini ukiangalia wachezaji wa hakiba siyo wa kuamini..
Arsenal kwa makeke nao hatuwawezi, hongereni ila hizi wiki mbili za mwanzo kwenu ni ngumu sana.
Alafu hawa Everton wafanye wamuuze huyo Lescott sasa kabla hajawa tatizo kubwa kwenye dressing room.
Wape Arsenal mpaka february.
...msimu huu nimebadilisha namna ya ushangiliaji...halafu hiyo hongera halafu unaitia 'ila' hainogi!
Nawasubiria kesho! 😀
...halafu mnasemaje? mnatupa mpaka February? haaaya! 🙂
Ikifika december/january pumzi zimewajaa mpo hoi. Tusubiri mambo yatakavyokuwa na hizo dozi zenu.
Wakuu, huyo Fab na mwenzie Eboue wakati wanashangilia goli waliishika hiyo jezi no 21 ya Jargue....ina maanisha nini hapo?
Mkuu... ni heshima na kumbukumbu kwa Dani Jarque, captain wa Espanyol aliyefariki kutokana na heart failure walipokuwa kwenye pre-season Italy.
Jarque ni nahodha wa timu fulani huko Hispania aliyekufa kambini - soma habari hiyo humu: http://www.goltv.ca/articles/?id=25515
...msimu huu nimebadilisha namna ya ushangiliaji...halafu hiyo hongera halafu unaitia 'ila' hainogi!
Nawasubiria kesho! 😀
...halafu mnasemaje? mnatupa mpaka February? haaaya! 🙂
Wewe wasema mkuu...Roho inawaumaaaaaaaaaa mpaka basiArsenal kwa makeke nao hatuwawezi, hongereni ila hizi wiki mbili za mwanzo kwenu ni ngumu sana.
Alafu hawa Everton wafanye wamuuze huyo Lescott sasa kabla hajawa tatizo kubwa kwenye dressing room.
Wape Arsenal mpaka february.
Well said mkuu...waache jamaa waendelee kukariri aisee,mambo yanabadilikaMsimu mpya na mambo mapya....is not always the case tumekuwa tukifanya hivyo tangia mwaka 1993, je, tumekiwa tukishiwa pumzi mwisho wa msimu?