Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
sawa sawa mkuu.hawa jamaa naona wanatusumbua nao.tukiwafunga moja tu watafungua nafasi wenyewe pale kati.tupo mkuu, naona mambo yanazidi kupamba moto!! hawa jamaa wamo tu! hizi link siku hizi haziaminiki unaangalia baadae wanakata maximum number of viewers, lakini hivyo hivyo unahamia nyingine!!
hapa mie presha juu.tricky arena, Barcelona na Ac Milan wana historia nayo. hawa jamaa mechi yao waliyoshinda ugenini ni moja ambayo imewaleta hapo, sasa wanafanya kila njia kutoharibu historia yao ya nyumbani.
hapa mie presha juu.
zali hilo goli letu hilo
jamaa wametubana sana kwahio goli la ajabu kama hilo powa tuu.sasa ndio wataanza kufungua uwanja.
bent ana msimu mzuri sana inaelekea.ndugu zetu wa Stamford Bridge wameshaanza kuchezea kichapo, labda wanaweza kupata zali kama wiki iliyopita. Bent ameanza vizuri msimu huu.
cha pili hicho mkuu!! mambo yameiva
Wamejifungamfungaji nani?
Caldwell amejifunga, Van Persie alikuwa anamtisha kwa vishindo 😉mfungaji nani?