Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

the gunners wameonyesha uwezo mkubwa sana wa kutandaza kandanda. namuunga mkono TechMaro kwa mtizamo wake. Ni timu pekee inayojali utu wa mtu mweusi na kuthamini uwezo wake. Wenger do not despair the match is on!!!!
 
Yaani kwa jinsi ninavyopenda kandanda kawaida huwa naangalia mechi hata za ligi ya mbuzi. Ila msimu huu Arsenal wananifanya nikimbie TV. Kucheza wacheze vizuri, kufungwa wafunge.....duh, utafikiri Malindi.

Mimi sielewi kwanini Wenger hanunui pure finisher, Van Nisterlooy mould. Ok, Eduardo ana potential. Lakini hii kila siku kujenga timu inachosha sasa. Kuna mchezaji yuko Ajax sasa hivi Huntelaar, inabidi amuwahi, maana huyo ni mould ya Va Nister na Van Basten in one.
 
Duu Mkuu gang Chomba, pole sana. Utapaswa kutambua kwamba Arsenal haiwezi Liverpool. Kwani ni mara yenu ya kwanza kufungwa na Liva? lini mmewafunga Liverpool! Nadhani muihurumie Chelsea sasa kwani nayo itakwatuliwa hivyo hivyo. Karibuni Old Traford Jumamosi.

Arsenal ina record nzuri sana against liverpool nyumbani,wameshnda the last 4 games na hawajafungwa na Liver home since feb 2000. Usisahau pia kwamba last season waliwatoa kwenye carling cup, FA cup.
 
Tumeanza kumsaka mchawi sasa........

Arsenal stars question Wenger tactics....

YOU DON'T KNOW WHAT YOU'RE DOING
EXCLUSIVE by ROB SHEPHERD

ARSENE WENGER is facing the first dressing room crisis of his Arsenal career.
On the day of the Old Trafford clash which could kill off the Gunners' season entirely, unhappy stars are questioning the manager over tactics and team selection.

Major rifts have also opened amongst the players with goalkeeper Manuel Almunia admitting he knows he is ‘hated' by rival Jens Lehmann.

Arsenal's Champions League progress had helped paper over the cracks.

Tension

But after losing to Liverpool in midweek, there is a growing tension between managers and some players. One Gunners source said: "The turning point was going out of the FA Cup to Manchester United, the team hasn't recovered from that.

"Suddenly there are major inquests going on. Nobody can understand why Kolo Toure was played at right-back instead of centre-half in big games, everybody can see Emmanuel Eboue isn't a midfielder and there is too much pressure on Cesc Fabregas to carry the team.

"Arsene wants to play attractive, passing football but some of the senior players think he's breeding a team of youngsters who think it's OK to just play well without having to actually graft to win games.

"There isn't a winning mentality like there is at Manchester United or Chelsea. There doesn't seem to be a win-at-all-cost attitude."

Friction

Almunia went public on the breakdown in his relationship with Lehmann, admitting: "To have someone here who hates me is just amazing. I know he hates me.

"Every morning I know it's going to be the same but I don't care. I don't want any relationship with him any more."

There is also friction between skipper William Gallas and some of the younger players. And the growing resentment with Nicklas Bendtner was highlighted when only Theo Walcott congratulated him for his goal against Liverpool last weekend.

Alumunia revealed Wenger dislikes tension. The keeper said: "The boss is trying to build a team of kind people. He doesn't like arguments."

Many believe Wenger is missing the influence of former vice-chairman David Dein, who left the club a year ago.


Source:News of the World.
 
ITS OVER GUYS, WE MUST ADMIT.SEE YOU NEXT SEASON.

2319624975.jpg


3288466131-soccer-barclays-premier-league-manchester-united-v-arsenal-old-trafford.jpg


2331693408.jpg


2003018583-soccer-fa-cup-fifth-round-manchester-united-v-arsenal-old.jpg
 
My Player of the Year is Gael Glichy. No other player has been as consistent as him. Been a joy to watch each time!!

Cant describe the feeling I got this week when I saw Theo Walcott cutting through 4 or 5 players to set-up Adebayor's goal. Only for the defence to spoil his moment!!

Gallas just worst captain I have ever seen. Too much talk.......Maaaan, where is the next Tony Adams?? We need a defender whose idea of pass is passing a couple of pints in the pub, and hoofing the ball on the football pitch.

We seriously need an Ian Wright......just scoring machine, no fancy shite.

.............damn, what a year!
Wenger anasema anahitaji mchezaji mpya mmoja tu. Hapo kwakeli simwelewi. Sometimes watu talented wako stubborn eh? Mimi naona Wenger ni stubborn tu. Nyie mnaonaje?
 
huyu mtu anaitwa adebayol kama msimu ujao asipouzwa basi mi ni bora nirudi kuishangilia abajalo...hakika ye ndo ametukosesha kunywa mvinyo msimu huu.
 
.............damn, what a year!
Wenger anasema anahitaji mchezaji mpya mmoja tu. Hapo kwakeli simwelewi. Sometimes watu talented wako stubborn eh? Mimi naona Wenger ni stubborn tu. Nyie mnaonaje?

...Only Arsene Wenger na Mw'mungu wake ndio wanaojua, lakini jamaa ana Bonge la Belief na hii Squad!...

Najipa moyo kuwa the team will come up 'more' stronger next season, lakini kuongeza mchezaji mmoja tu mnh!!!...

what if tungekuwa na kina Van Persie, Rozsisky, Denilson, Djerou, Eduardo mpaka hapa tulipofikia?

...bado nataka kuamini Theo Walcott is being groomed to fill the void left by the 'Legends' i.e Ian Wright, Anelka, Thierry Henry etc.

...I hope, (fingers crossed) next season the squad will come back More hungrier, and more ambitious! Kumbukeni the same squad reached finals of Champs league, na season hii Nobody expected arsenal kufikia hapo ilipofikia (bila Thierry Henry),

...If Only those decisions could have gone our way, we acha tu!
!!....

...angalau sasa sina tena tension za mechi zijazo, tushinde tusishinde tutacheza Champs league next season, sasa ni kukamilisha ratiba tu, na England haipo kwenye Euro ndio kabisaaa, heri tupu!!!
 
Kwa maoni yangu Arsenal inahitaji wachezaji wazuri tena wafungaji hodari watatu wamsaidie adebayo, vinginevyo hata mwakani wanaweza tena kurudia ya mwaka huu kuanza vizuri sana na kumaliza huku wakisua sua.

Je mnafahamu ni timu gani katika EPL inaongoza kwa kupewa penalties nyingi mwaka huu?

Penalties za timu nyingine marefa wanameza kipenga, lakini MANU....hupewa penalties hata zisizostahili.
 
Bubu thats silly to say MANUT are given PENALTIES!

So far what are i know till the yesterday game Manutd so far hata penalty 3 hazifiki!

Wat shold Webb dO inhali Gallas your bigot captain kashika mpira live?

Mi nadhani your trophyless season analysis should start with looking yourselves kwanza nini tatizo, sio kuanza kuangalia Manutd au Chelsea kapendelewaje!

Your team lack consistency, failing to handle the pressure of the game among the rests!

Mimi naweza kuwa sio mchambuzi mzuri wa sika lakini sio mbaya kama ukiwa unapata mda jaribu kupitia....dailymail.co.uk, thesun.co.uk, mirror.co.uk ukutane na wachambuzi MAHIRI ambao wanatoa analysis nzuri ya team yenu!

Thanx kwa kuwasindikiza MANUTD & CHELSEA!
 
Is he going back? That will be a big morale booster for next season
http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/7366141.stm

Bubu, tafadhali. Huyo hafai kurudi. Ataharibu timu. Timu inachohitaji sasa hivi ni pure finisher, nothing fancy. Arsenal wanatengeneza chance nyingi mno zinahitaji kumaliziwa tu. Henry ataharibu balance ya timu. Timu sasa hivi inabalance nzuri tu. Sema Wenger sometimes ana ndoto zake zisizoeleweka.
 
we unaemkataa TH14 sidhani kama unaitakia mema arsenal.
jamaa kaondoka pale na jumla ya magoli 226 na kaweka rekodi ambayo adebayol hawezi kuivunja hata aachiwe na mipira ya offside.
yaani kama nxt season wenger hatomrudisha henry na kutegemea kina adebayol na bendtner basi mi najito, na nachana picha zote za ukutani na kuchoma jezi zangu zoote moto
 
Arsene: I won't let Hleb leave … The fight back of Arsene

hleb_280x390_484545a.jpg


Clash … Alex Hleb

ARSENE WENGER told Alex Hleb: “You’re not leaving Arsenal.” Boss Wenger vowed to take Hleb to court to stop him buying out his contract and joining Inter Milan.
And that could mean Hleb is out of action for months as Wenger fights to keep him.

Wenger says no one will follow AC Milan-bound Mathieu Flamini out of the door. He said: “I am confident of keeping Hleb. Nobody goes. It’s that simple. It’s about what is good for the club.” Hleb’s agent claimed he would buy out his contract for £3million. Wenger added: “You can’t come in the next day and buy it out. “You may have to go to court and can be banned if it’s not done right. It takes months.”
 
Arsene: I won't let Hleb leave … The fight back of Arsene

hleb_280x390_484545a.jpg


Clash … Alex Hleb

The loyality of the players to Wenger is wearing out fast and he hasn't even noticed it.... it ain't good
sasa hii timu ya mahakamani.... Pole kwa wanazi wa ganaz.
 
AW kafanaya mistake sana kumwachia Flamini, dogo alikuwa anakamua poa sana, Denilson ni mzuri ila mpaka aje azoee PL itamchukua mda kidogo, afu Adebayo sholud go the who should score goals for ur team?, i admit kwamba Ade is too much wastefull lakini kurudi kwa Edu kuta-wa boost!!

AW akitaka msimu unajo ashike nafasi ya kumi huyo kijana hapo juu kwenye thread ya Roya aachiwe nae aondoke!!
 
Jamani wana Arsenal leo tunakipiga na FC TWENTE katika UEFA CHAMPIONS LEAGUE QUALIFIERS tunaomba watakaoiangalia mechi hyo wawe wanatujuza matokeo kadiri muda unavyoenda
 
Back
Top Bottom