.............damn, what a year!
Wenger anasema anahitaji mchezaji mpya mmoja tu. Hapo kwakeli simwelewi. Sometimes watu talented wako stubborn eh? Mimi naona Wenger ni stubborn tu. Nyie mnaonaje?
...Only Arsene Wenger na Mw'mungu wake ndio wanaojua, lakini jamaa ana Bonge la Belief na hii Squad!...
Najipa moyo kuwa the team will come up 'more' stronger next season, lakini kuongeza mchezaji mmoja tu mnh!!!...
what if tungekuwa na kina Van Persie, Rozsisky, Denilson, Djerou, Eduardo mpaka hapa tulipofikia?
...bado nataka kuamini Theo Walcott is being groomed to fill the void left by the 'Legends' i.e Ian Wright, Anelka, Thierry Henry etc.
...I hope, (fingers crossed) next season the squad will come back More hungrier, and more ambitious! Kumbukeni the same squad reached finals of Champs league, na season hii Nobody expected arsenal kufikia hapo ilipofikia (bila Thierry Henry),
...If Only those decisions could have gone our way, we acha tu!
!!....
...angalau sasa sina tena tension za mechi zijazo, tushinde tusishinde tutacheza Champs league next season, sasa ni kukamilisha ratiba tu, na England haipo kwenye Euro ndio kabisaaa, heri tupu!!!