Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu yao hii AW ndio kawaambukiza katabia hako ka ku-givu UP mapema hivi, looks like tutaiteka hii thread yao mda sio mrefu..!

Plz stay with us fellas, ligi bado mbichi hii jamani!!Lol....!
 
hata mbuyu uluanza km mchicha

so hakuna sababu ya kuanza kulaumu mapema ndio kwanza mechi ya 7 kuna mechi kibao hk mbeleni hakuna sababu ya kutia shaka msimu huu lzm tubebe ndoo

muda si mrefu mambo yatakuwa kwenye mstari waungwana msikate kataa

idumu arsenal daima
 
Mbona inajulikana kuwa huwezi kushinda vikombe na watoto. Lakini inategemea lengo la Arsenal na AW mwenyewe ni nini hasa. Mimi binafsi nafikiri lengo lao sio kushinda vikombe bali ni kuburudisha which is wanaifanya vizuri sana hiyo kazi.

Zamani unajua nilikuwa nafikiri Arsene Wenger ndio mwenye timu ya Arsenal hasa ilivyokuwa inaboronga halafu hatimuliwi. Nilikuwa nalinganisha majina kumbe nilikuwa najizuga. Arsenal msimu huu ikiwa hata ya tano kwenye msimamo wa ligi (achilia mbali ya 4 ) watakuwa wame-over perform. Muda utasema.

Kila la heri Arsenal. By the way mna bahari sana juzi jumamosi, pale maji yalikuwa yameshazidi unga. Hapo bado hamjacheza na mapapa nguru ya mjini kila Chelsea, Man U, Liverpool na Man City. jasho litawatoka.
 
mwanzo wa msimu niliwahi kujitokezana nikaaandika thread inayomuhusu mzee wenger ana falsafa zake zilizopitwa na wakati ila sasa watu ndo wanayaona....wenger must go
 
umefika wakati tukubali ukweli mifumo ya wenger kwa sasa haina faida...
 
Arsenal consolidated their position at the top of Champions League Group G with a magnificent victory in Istanbul.

Emmanuel Adebayor slotted low to give Arsenal the lead and Theo Walcott rounded Volkan Demirel to make it two.

Fenerbahce got a goal back when Dani Guiza's volley was poked into his own net by Mikael Silvestre but Abou Diaby fired the visitors into a 3-1 lead.

After Alex Song volleyed a fourth Guiza lobbed Manuel Almunia, but Aaron Ramsey came on and drilled a deserved fifth.

Ramsey replaced the superb Diaby on 73 minutes and provided a fitting end to a memorable evening for the north London club.

The Gunners were applauded off the field by the home supporters who, despite seeing their side's chances of reaching the knockout rounds suffer a potentially fatal blow, recognised a fine display of attacking football.

Arsenal are now two points clear of Dynamo Kiev after they beat Porto away from home to leapfrog the Portuguese side into second place.

Fenerbahce were undefeated in 15 European games at home but showed exactly why they are struggling in their domestic league with a series of woeful defensive errors

Injuries to Bacary Sagna, William Gallas and Kolo Toure forced Gunners boss Arsene Wenger to include Emmanuel Eboue, Song and Silvestre in an unfamiliar-looking back four.

The quartet was exposed throughout a testing evening but a combination of poor Fenerbahce finishing and a number of superb saves by Almunia limited the damage.

At the other end Arsenal were at times unstoppable, their speed of thought and movement leaving the home midfield and defence chasing shadows.

Luis Aragones' men had been warned about Adebayor's threat when he wriggled free and shot over the cross-bar in the fifth minute.

And, five minutes later, Fenerbahce were punished for their failure to get tight to the Togolese striker, who collected Cesc Fabregas's precise through-ball and raced clear before coolly shooting past Volkan.

With the boisterous home crowd temporarily silenced, Arsenal went on the attack again and took full advantage of some more woeful marking from their opposition.

In similar circumstances to Arsenal's opener, Fabregas picked up possession in midfield and provided a delicious slide-rule pass for Walcott to jig past Volkan and tap home.

Fenerbahce might have been three goals down inside 13 minutes when Diaby beat Edu with an impressive piece of trickery on the right and crossed to the back post for Samir Nasri, whose shot was well saved by Volkan.

An unnecessary body-check by Song allowed the hosts a set-piece from which Guiza's volley across the face of goal was diverted past Almunia by Silvestre on his Champions League debut for Arsenal.

Fenerbahce were inevitably going to push hard for an equaliser but they were stung on the counter-attack as Diaby left Edu floundering and drilled a low left-footed shot into the bottom right-hand corner.

Fenerbahce will feel unfortunate not to have narrowed the deficit by half-time after Semih Senturk was foiled by Almunia.


Guiza then had a strike correctly disallowed for offside, saw another shot zip inches wide and a third effort blocked by his compatriot in the Arsenal goal.

Arsenal began the second half with a series of flowing attacks and it was from one such movement that Lugano brought down Nasri on the left wing.

From Fabregas' resultant free-kick Silvestre nodded on for Song to lash into the bottom corner.

Following a pulsating opening two thirds, a temporary lull ensued but that was broken when Song failed to deal with Edu's long ball forward and Guiza finally got his goal.

But Arsenal would have the final say and Ramsey marked his first appearance in the Champions League proper with a venomous finish from the edge of the penalty area.



--------------------------------------------------------------------------------

Arsenal manager Arsene Wenger:


"Because the two teams were going forward it was a very open game and Fenerbahce are an attacking side and are very dangerous going forward.

"Both teams were going forward 100% but the fact we scored an early goal forced Fenerbahce to come out and we caught them many times on the counter-attack.

"Our pace, movement and technique made the difference and allowed us to take advantage of it but it was not an easy game.

"I am very proud of the team. The average age was 23 and I am proud because we came in and tried to dictate the game in a very heated atmosphere.

"It is very pleasing that they seemed to play with no fear. I am pleased to see it works.

"We came here and had a go. We started strong, we remained quite strong and we finished strong."



--------------------------------------------------------------------------------

Fenerbahce: Demirel, Gonul (Yilmaz 80), Edu Dracena, Lugano, Roberto Carlos, Maldonado (Bilgin 52), Alex, Sahin, Boral, Senturk, Guiza.
Subs Not Used: Babacan, Josico, Gursoy, Parlak, Cakmak.

Booked: Sahin, Lugano, Senturk.

Goals: Silvestre 19 og, Guiza 78.

Arsenal: Almunia, Eboue, Song, Silvestre, Clichy, Walcott (Djourou 84), Fabregas, Diaby (Ramsey 73), Denilson, Nasri, Adebayor (Vela 86).
Subs Not Used: Fabianski, Van Persie, Bendtner, Gibbs.

Booked: Song Billong, Diaby.

Goals: Adebayor 10, Walcott 11, Diaby 21, Song 49, Ramsey 90.

Att: 49,521

Ref: Peter Frojdfeldt (Sweden).

BBC Sport Player Rater man of the match: Arsenal's Theo Walcott with 8.24 (on 90 minutes).


By David Ornstein
 
haya wanafiki semeni tena hp mwendo mdundo mpk kitaeleweka 2

habari ndiyo hiyo.....kidogokidogo 2kinyataaa....kuutafuta ubingwaaa
 
.....wazee kusema ukweli Arsenal wamewapiga waturuki yale magoli......they were fantastic goals......that was humiliation at home ground.....nawapongeza Arsenal kwa kandanda saafi sana.......very entertaining game......
 
David lakini historia imekaa vibaya kidogo.

Huwa kuna kuwa na relaxation ya nguvu pindi unapopatikana ushindi mnono, jaribu kufuatilia hapa chini.

23 Tue Carling Cup Arsenal 6-0 Sheff Utd

27 Sat Barclays Premier League Arsenal 1-2 Hull City

30 Tue UEFA Champions League Arsenal 4-0 FC Porto

04 Sat Barclays Premier League Arsenal 1-1 Sunderland

21 Tue UEFA Champions League Arsenal 5-2 Fenerbahce

Lets wait and see kama sunday mambo yatabadilika, kwa kuwa ushindi huo utakuwa boost nzuri kwa young gunz !

26 Sun Barclays Premier League Arsenal ?-? West Ham United 16:00
 
.....wazee kusema ukweli Arsenal wamewapiga waturuki yale magoli......they were fantastic goals......that was humiliation at home ground.....nawapongeza Arsenal kwa kandanda saafi sana.......very entertaining game......

mkuu kwa sasa arsenal haihitaji entertaining, kinahohitajika arsenal ni vikombe.
msimu wa ngapi huu tunakuwa wasindikizaji na tunamaliza ligi bila kuwa na kombe?
 
kesho hawa wagonga nyundo ni wetu tu lazima waingie choo cha kike lazima tuhakikishe tunaondoka na pointi zote 3 ambazo ni muhimu sn kwetu ili kupunguza gap na hao wasindikizaji liverpool na chelsea
 
Nadhani mmeviona vitu vya Arsenal leo. Wamecheza vizuri na kuwatundika WH 2 kwa bila.
 
Aisee Ze Gunazzz nyie wakaliii sana tuu!, kwa staili hii treble yenu msimu huu!!(????) hongereni kwa kuwatandika WH..They normally gvs us hard time!
 
na bado makamuzi yanaendelea tena leo kwa spurs

Mambo vipi?, jana imekuaje tena wakubwa?, naona mmechapwa magoli ya 'Video", tehe tehe tehe!!, jana 'Alumunia' alikunywa Mbege sijui??
 
Wenger kapanga mechi na Harry,yule ni mshikaji wake sana na wako kwenye matatizo wanaitaji pointi zaidi ya sisi lakini wenger hakuwa tayari kumpa zote 3 the best he could do ni draw ili watoke chini kule..angalia portsmouth wamejaa ex-arsenals na worry yangu nyingine ni bwana Tony adams akiwa matatizoni wenger pia atampa draw...Man! its too many points now days bora asingepewa timu ile ya portsmouth ukizingatia last league hatukuchukua ubingwa by 4 points..
 
jama wenger anatuzingua jama, kilichotuua ni zile sub mbovu alizofanya....kwa nini mnaogopa kusema ukweli?
 
Wenger kapanga mechi na Harry,yule ni mshikaji wake sana na wako kwenye matatizo wanaitaji pointi zaidi ya sisi lakini wenger hakuwa tayari kumpa zote 3 the best he could do ni draw ili watoke chini kule..angalia portsmouth wamejaa ex-arsenals na worry yangu nyingine ni bwana Tony adams akiwa matatizoni wenger pia atampa draw...Man! its too many points now days bora asingepewa timu ile ya portsmouth ukizingatia last league hatukuchukua ubingwa by 4 points..

hayo sasa ndo mawazo ya kipuuzi, hakuna urafiki kwenye ngazi ya soka la kimataifa...weka wazi arsenal imeishiwa
 
Back
Top Bottom