Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

poleni sana, mtajitahidi mechi zijazo ili msimalize ligi katika nafasi ya 7. Wenzenu huwa tunaanza chini na kupanda hadi namba 1, ninyi mnaanza namba 1 na kushuka...
 
ndio hapoo i tell washika bunduki kila msimu..huwa wanaanza kwa kasi ya ajabu...sijui ni nguvu ya nini maana sio ya soda anymo...ila as msimu uendavyo..presha,bp tupu!sasa hebu ona jana wamefungwa hadi na stoke city???
uwaambiaye next matches washinde hivi una habari kuwa next wana cheza na man utd ambao nw tayari ni wa tatu with a game in hand?tena bila van pussy na mayb mwanariadha theodora walkotiiii??
 
Msimu huu hata hiyo top 4 mtaisikia
 
Next game na MANU ,RVP hachezi striker vkabaki Adebayor
 
Poleni ndugu zangu wa Ze Gunnaz?, naomba mnifanyiebooking Emirates stadium siti ya mbeleee kabisa karibu na anapokaa AW..!, i want to enjor his 'gestures' jmoci ijayo.!.
 
ndio hapoo i tell washika bunduki kila msimu..huwa wanaanza kwa kasi ya ajabu...sijui ni nguvu ya nini maana sio ya soda anymo...ila as msimu uendavyo..presha,bp tupu!sasa hebu ona jana wamefungwa hadi na stoke city???
uwaambiaye next matches washinde hivi una habari kuwa next wana cheza na man utd ambao nw tayari ni wa tatu with a game in hand?tena bila van pussy na mayb mwanariadha theodora walkotiiii??

Wahenga walinena, 'Usitukane mamba kabla ya kuvuka mto..'
 
Poleni ndugu zangu wa Ze Gunnaz?, naomba mnifanyiebooking Emirates stadium siti ya mbeleee kabisa karibu na anapokaa AW..!, i want to enjor his 'gestures' jmoci ijayo.!.

Usitukane wakunga uzazi ungalipo..usije mkatungishwa mimba mkaja hapa kutulilia..
 
Usitukane wakunga uzazi ungalipo..usije mkatungishwa mimba mkaja hapa kutulilia..
Timu ya kutishia watu wazima nyau iko wapi mkuu....
Ganaz hawana malengo, huwa wao kazi yao ni mbio tu....hawana malengo ya ushindi kabisa!
 
leo hawa waturuki lazima wachezee kichapo hevi kwani leo tunafanya mazoezi kwa ajili ya game la jumamosi na man utd

tusikatishwe tamaa na matokeo yaliyopita cha msingi ni kuangalia game za mbeleni
 
@#353..

aah, mi nilikuwa nakumbusha tu maneno ya wahenga..si unajua wahenga hawakosei?
 
Gunnpowder flop

ARSENE WENGER'S problems continued to mount last night.

His Arsenal side were held to a 0-0 draw by Fenerbahce and Mikael Silvestre suffered a suspected broken nose to make him doubtful for Saturday's crucial home Premier League clash against Manchester United.

Boss Wenger also fears his kids are starting to run out of steam in the run-up to the match which could end their title challenge for another year.

After the Gunners' first goalless draw since February, he said: "Saturday is a massive game for us. It is vital to do well in our League games against the big teams.

"But we have had three difficult games in the space of one week and tonight we did not have the physical resources required to break down Fenerbahce.

"We created three or four clear-cut chances in the first half but couldn't score and in the second half we dropped physically and were less dangerous.

"All the English teams were doing well in the Champions League but this week none of us has won.

"Maybe that is due to the fact there was a full Premier League fixture list last Wednesday and we have not had enough time to recover."

Silvestre, elbowed by Fenerbahce skipper Semih Senturk, will undergo a scan on his nose today.

Poleni sana, naona amebakia AW tu aumie na yeye, manake looks like kila mtu yuko injured in ur team. Plz naomba mkubali kichapo jmosi ili AW ajifunze kuwa siku hizi NO SPENDING...... .NO TROOPHIES!...
 
leo hawa waturuki lazima wachezee kichapo hevi kwani leo tunafanya mazoezi kwa ajili ya game la jumamosi na man utd

tusikatishwe tamaa na matokeo yaliyopita cha msingi ni kuangalia game za mbeleni

heheheeh kama mazoezi yenyewe mlikua mwafanya ndo hayo ya kutoka bila bila???basi nawashauri mjiandae na dawa za kutuliza magonjwa ya mshtuko wa moyo jmosi...tena mtakua kwenu..keleuwiiii
 
Jamani Arsenal, club yetu, mbona mchezo kama ule wa jana ilikuwa tupate magoli kama 3 hivi lakini tukatoka sare? Hawa vijana wanapanga mpira lakini magoli hayapatikani
 
Will the real Gunners Please stand up!!! Braaaaaaaaap!!
Leo Manure tunawapiga bao tu!!
 
Back
Top Bottom