Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Haya wale watukana wakunga..naona mmepewa mimba ya mapacha kama nilivyosema..
Wahenga huwa hawakosei.
Was'alam
Wahenga huwa hawakosei.
Was'alam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasri.............kengine.Upo?
kumekucha jamani.....
Kwanza Hongereni jamani, we outplayed you guyz ila scoring was areal Gonorrohoea to us ,ila my worrry ni kuwa mnaweza kuwa mmetuchapa sisi, sawa tunakubali kipigo, but still ur problems will remain there, sijui kama kutakuwa na maana mkatuchapa but at the end of the day mnapoteza mechi na Stoke and the likes while us will be crown THE CHAMPION!!!
ONE LOVE ONE UNITED!!!

Wewe aloo vipi tena...???
Hebu wasifu jamaa na uachie hapo.Hii kutoa excuses eti sijui kuwachenga tuliwachenga lakini...(maliza mwenyewe)..haifai.
Hio 'crowning the champion' sijui mkuu..mpaka hapo kitakapoeleweka.
But yet again, kama nisemavyo, nyinyi watu wa Man U mna-uzalendo
mwingi tu.
Matatizo ya Arsenal waachie wenyewe. Rudini kwenu mkajipange upya. Maswala ya "chenga twawala"yameptitwa na wakati. Kabla ya pambano mlitukana sana hivi mlidhani simba akinyeshewa mvua anakuwa nyau??
Umehamia sikuhizi Emirates??
Kweli mkuu, jamaa wanastaili PONGEZI za dhati kabisa
za kutoka 'rohoni' na kupitia 'mdomoni' (???????)
Pamoja na hayoo yote, ila Wanazi nyie ni maarufu kwa kulikimbia Jukwaa Lenu hususani mkichapwa,mnaonaje mkiwa Wazalendo kama akina sie?, hata tukichpawa sisi tumo tu!
Pamoja na hayoo yote, ila Wanazi nyie ni maarufu kwa kulikimbia Jukwaa Lenu hususani mkichapwa,mnaonaje mkiwa Wazalendo kama akina sie?, hata tukichpawa sisi tumo tu!
Suddenly Arsenal imeongeza idadi ya washabiki lol!!!
Ole yuko wapi na picha zake za kejeli? maana hawa washika bunduki boti lao likipigwa na dhoruba wanaingia mitini lol.
Kufungwa tumefungwa ila hii mechi haikuuma sana kama tulivyofungwa na Liverpool au kama tungefungwa na Chelsea....Under perfomance!!