Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jana tumewasaidia kuwafunga wapinzani wenu
 
Hawa jamaa ndio "spine" ya Arsenal. "Supply chain" ya mipira kwa washambuliaji ilikosekana sana na kurudi kwa Fabregas ni furaha tupu.

Wenger ameona hilo na juzi aliwatoa mapema Ade na Fabregas ili wapunzike kwa ajili ya mechi na Villareal kesho.
 
Naona Van Persie hayuko kwenye list inayokwenda Villareal.
 
Naona Van Persie hayuko kwenye list inayokwenda Villareal.

Van Persie anasumbuliwa na matatizo ya misuli ya mapaja. Ni tatizo linalomkabili hasa pale anapotumia kasi katika mwenendo wake uwanjani kupita kiasi na kusababisha misuli hio kutanuka na kuachia.

Anyway huo ndio mpira na atakuwa benchi na wenzie Abu Diaby (maumivu mapajani), Tomas Rosicky na Eduardo wakiendelea na matibabu.

Lakini Samir Nasri na Theo Walcort wamerudi na wameenda Spain kwa ajili ya mechi hii muhimu.
 
...dkk ya 26, Manu Almunia (aliyeumia) anatoka, anaingia Lukasz Fabianski...
 
...wajameni eeeh! TUMEZIDIWA!

Possession statistics
Villareal 54%
Arsenal 46%

...dkk ya 41 William Gallas naye ameumia, Djourou anaingia badala yake!...
 
Arsenal kazi ipo leo, hope ngwee ya pili mtabadili matokeo ya kipindi cha kwanza! huh!
 
We need a goal from somewhere, that vital away goal but we dont look like a time that is capable of scoring. Our defence is soo poor this evening, mungu tu ndo anasaidia, i'll settle for 1-0 at the end.
 
Mazee niko usweke huku sioni kitu hakuna TV ni haka ka-mobile gadget lakini tuko kwa Arse**l leo... NAWAOMBEA Mungu mshinde aisee;
 
Back
Top Bottom