Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
......arrrggh, we acha tu bibie,... Game ya leo wala sikujipa tamaa kwani najua defence iliyopo sasa ni uchochoro mtupu... kwanini nijiudhi bure?
Anyway, Arshavin kafanya kweli leo kumuadhirisha Arsene Wenger kutompanga mechi na Chelsea... inauma kweli lakini ndio hivyo tena...
Man U bado mmeshikilia usukani, mshindwe wenyewe!
duh huyo golikipa wa Arsenal amenikumbusha mambo ya James Kisaka wa Simba. Wenger inabidi atafute golikipa mwingine zaidi...
Hapana.
Kwa anyejua mpira huwezi kusema kipa ndiye aliyesababisha magoli ya KOP. Magoli karibu yote yamesababishwa na huyu Habib Toure na mwenzake Silvestre. Hawaruki , hawakabi vizuri. Magoli yote ya Torres ni ya mabeki wa kati. Hata la 2 la Benayoun mpira wa kwanza mrefu ulivyopigwa Torres karuka peke yake Toure anamkimbia..halafu kross inakuja Yossi anafunga mbele ya Sagna na Toure. Hawa jamaa 2 hawana jipya kwa kweli.
Hapana.
Kwa anyejua mpira huwezi kusema kipa ndiye aliyesababisha magoli ya KOP. Magoli karibu yote yamesababishwa na huyu Habib Toure na mwenzake Silvestre. Hawaruki , hawakabi vizuri. Magoli yote ya Torres ni ya mabeki wa kati. Hata la 2 la Benayoun mpira wa kwanza mrefu ulivyopigwa Torres karuka peke yake Toure anamkimbia..halafu kross inakuja Yossi anafunga mbele ya Sagna na Toure. Hawa jamaa 2 hawana jipya kwa kweli.
Asanteni sana Gunners nilisema mngeshinda kelele zingekuwa nyingi nafikiri hii game na ile ya Spurs Vs Arsenal ndio best game za season hiiTunawaombea mpate droo ingawa mkishinda itakuwa vizuri kwetu but mtapiga kelele mno
Asanteni sana Gunners nilisema mngeshinda kelele zingekuwa nyingi nafikiri hii game na ile ya Spurs Vs Arsenal ndio best game za season hii
Sasa Man Utd wanasahau kuwa wao nao itabidi wavuke huu mto wenye mamba..bwa ha ha ha..
Hawa Man u hata ukiwa unya hawasikia, ni jeuri kweli......ngoja waje wakutane na vijana na wasasambuliwe kama karanga!
Arsenal striker Robin Van Persie will miss the first leg of their Champions League semi-final against Manchester United with a groin strain.
"He is definitely out for Sunday (against Middlesbrough) and for Manchester United," manager Arsene Wenger told the club's website on Thursday.
Dutchman Van Persie's absence is a big blow to Arsenal who are unable to use in-form Russian Andrei Arshavin who is cup-tied.
Better news for Arsenal was that first-choice goalkeeper Manuel Almunia is back in training after an ankle injury along with defender Johan Djourou.
Left back Gael Clichy will not recover in time from his back injury to face United next Wednesday at Old Trafford.
"He could be back for the second Manchester United game. He has a scan on Monday. We'll go from there. He has a chance to be back in full training next week," Wenger said.
Central defender William Gallas will not play again this season after injuring knee ligaments.