Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

NILITAMBUA HILI....ANGALIA KWENYE ARSENAL IMEANZA -VE MEANS ....-01

Mmhhhhh,mkubwa...Huu mbona ni uongo wa mchana kweupeeeeeeeeeee
TUJIPE MOYO DRAW IPO
 
😕
Kwa ulinzi tulionao leo lazima tuchapwe mengi tu...Wenger kwa nini kampanga Sylevestre wakati katoka majeruhijana tu na kiwango chake ni kibovu,leo lazima tuchapwe mengi tu,noma kweli yaani
Sylevestre kawaokoa mara kadhaa,ila kama si Almuna basi The gunners wangekuwa down 3 nil...Ni half time,Arsenal wanahitaji mabadiliko hapo,Fabregas bado hajafanya mambo.
 
mzizi wa fitina unakatwa leo, mpaka sasa wachovu 0 oshea 1, watu weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mkuu balantanda wacha wapige makele ikifika dk ya 88 tutawauliza ngapi ngapi watuletee matokeo kama waliyoandika hapo juu
arsenal oyeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Saiko,Mpira ni dakika 90 mpwa,na tusubiri hizo dk 90 tuone

I know, lakini dalili zote ni kwamba giunners watalala, hata mahesabu yanaweza kuonyesha hivyo!
Basi natoa pole nusu, nyingine ntamalizia dk 90 zikiisha.

Mkuu balantanda wacha wapige makele ikifika dk ya 88 tutawauliza ngapi ngapi watuletee matokeo kama waliyoandika hapo juu
arsenal oyeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

23 games unbeaten record for Mna utd in the UCL history!
Tuko pamoja!
 
Mbu sikuoni hapa au mpaka gemu iishe? Usijali kuna kushinda na kushindwa na mpira bado unaendelea.
 
Balantanda
jamaa leo hawakupitia BAGAMOYO nini kwa babu mbona man wanapiga wanavyotaka
 
arsenal itarudisha dk ya 89;tusikate tamaa jamani....
 
Balantanda
jamaa leo hawakupitia BAGAMOYO nini kwa babu mbona man wanapiga wanavyotaka
Naomba tusubiri dakika 90,then tutaangalia nini cha kuongea,nina uhakika akiingia Eduardo da Silva a.k.a Dudu aweza fanya mabadilko kidogo
 
Back
Top Bottom