Heheeeeeee,ni offside ile wewe,unamsem refa eeh...Nimefurahshwa na matokeo ya leo mkuu,hesabuni kichapo 2nd leg ndani ya Imarati...Tutakuwa full mkoko...Lol
Imarati lazima samba litambae la nguvu lazima mashetani wapungwe safari inayokuja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heheeeeeee,ni offside ile wewe,unamsem refa eeh...Nimefurahshwa na matokeo ya leo mkuu,hesabuni kichapo 2nd leg ndani ya Imarati...Tutakuwa full mkoko...Lol
Yeah,umeona eeh,Man wanaumia kimbwa,walijua leo wanatupiga goli nyingi,hako kagoli kamoja kanawaumiza kwa sana tu,halafu Old Traffford.......Lolhafu yule trekta wao safari hii anaenda kula red kadi imarati manake atakosa wa kumsukuma.
PoleeeeeeeMie leo kimyaaaa,
BAK naye naona kawa MIA.
Heheeeeeee,ni offside ile wewe,unamsem refa eeh...Nimefurahshwa na matokeo ya leo mkuu,hesabuni kichapo 2nd leg ndani ya Imarati...Tutakuwa full mkoko...Lol
Maneno mengi ya nini mkuu,tusubiri 2nd leg ndani ya ImaratiKwani leo hamkuwa full mkoko, ulimsikia jinsi Adebayor alivyoongea uchafu ooh siju lazima niwanyamazishe boo boys wa old trafford blah blah, kubalini kuwa mmefungwa na hiyo Flamboyant Football yenu ebo!!
Tunawasubiri Man-U pale Emirates na Gael Clichy na Robin Van Persie watarudi na wataweza kuleta mabadiliko. Kirean Gibbs bado mdogo sana kwa mechi kama hii na pale nyuma Sylvestre hakuwa makini sana.
Maneno mengi ya nini mkuu,tusubiri 2nd leg ndani ya Imarati
Ukweli ni kwamba Arsenal haikuwa kwenye best form mechi ya leo, mtu pekee aliyecheza vizuri ni golikipa wetu. Man wangeweza kupata ushindi mnono, lakini itabidi wajutie siku ya leo kwa sababu watatoka.
Mbu karibu tena ,game imeshaisha
...('baada ya kutokuwepo hewani kwa masaa 24',) Mbu ninarudi tena...😀
Kwanza hongera zenu sana Belinda Jacob, Belo, Icadon, Nziku, Saikosisi, Manda na 'mashetani wekundu' wooooote popote pale mlipo, mnasikia sana?... ila nashangaa presha yenu ya nini ilhali mshatupigilia kamsumari kamoja!
Anyway, 'mcheza kwao hutunzwa!', uzingatieni sana msemo huu...!
Nyie dawa yenu tumeshaijulia...kamata FAB na yule mtoto wa Kifaransa, hapo tutakuwa tumekata supply ya mipira mbele. Still sijawa-wright off u guyz, coz kuna 90min Emirates na anything can happen. Tukutane Emirates J4!
Dawa ni kumtimua huyo Mr. Bean,MBU ushapata timu ya kushangilia kati ya Barca au Chelsea maana MANU huwapendi na wanatinga fainali