Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Heheeeeeee,ni offside ile wewe,unamsem refa eeh...Nimefurahshwa na matokeo ya leo mkuu,hesabuni kichapo 2nd leg ndani ya Imarati...Tutakuwa full mkoko...Lol

Imarati lazima samba litambae la nguvu lazima mashetani wapungwe safari inayokuja.
 
hafu yule trekta wao safari hii anaenda kula red kadi imarati manake atakosa wa kumsukuma.
Yeah,umeona eeh,Man wanaumia kimbwa,walijua leo wanatupiga goli nyingi,hako kagoli kamoja kanawaumiza kwa sana tu,halafu Old Traffford.......Lol
 
Heheeeeeee,ni offside ile wewe,unamsem refa eeh...Nimefurahshwa na matokeo ya leo mkuu,hesabuni kichapo 2nd leg ndani ya Imarati...Tutakuwa full mkoko...Lol

Kwani leo hamkuwa full mkoko, ulimsikia jinsi Adebayor alivyoongea uchafu ooh siju lazima niwanyamazishe boo boys wa old trafford blah blah, kubalini kuwa mmefungwa na hiyo Flamboyant Football yenu ebo!!
 
Maneno mengi ya nini mkuu,tusubiri 2nd leg ndani ya Imarati
 
Man-U wameshindwa ku-capitalise ushindi wao na kwa kutofunga mengi. Na Arsenal wamecheza sana pasi kuliko ku-aim kufunga magoli na Adebayo ndio alikuwa na "offnight".

Hata hivyo wamesaidiwa sana na mashabiki wao waliojazana ndani ya old trafford na wanauita "theatre of dreams" ambao walikuwa wakivurumisha makelele.

Pia Man-U baada ya nusu ya pili kupita waliamua kulinda goli lao kuzuia goli la ugenini kwa Arsenal, well good attempt.

Tunawasubiri Man-U pale Emirates na Gael Clichy na Robin Van Persie watarudi na wataweza kuleta mabadiliko. Kirean Gibbs bado mdogo sana kwa mechi kama hii na pale nyuma Sylvestre hakuwa makini sana.

Inawezekana Arsenal wakasawazisha na tukaenda extra time na mshindi akapatikana off course Arsenal! Si mnajua ni wataalam wa penalties?

Lol
 
Last edited:
Tunawasubiri Man-U pale Emirates na Gael Clichy na Robin Van Persie watarudi na wataweza kuleta mabadiliko. Kirean Gibbs bado mdogo sana kwa mechi kama hii na pale nyuma Sylvestre hakuwa makini sana.

Ndoto zingine ni sawa na kutembea juu ya bahari!
 
Hivi nyie watu mshawahi kucheza mpira lakini?
Maana mnaongea sana duh, mlianza kutuwrite off mechi ya Inter Milan, ikaja ya Porto nayo mkatuwrite off na hii nayo wiki mbili hizi mlikuwa mnaongea uchafu tuu mkisaidiwa na backers wenu(Chelsea and Liverpool fans). Sasa hivi mnaanza visingizo sijui Clichy sijui Van Persie mkubali kushindwa ebo!!
 
Ukweli ni kwamba Arsenal haikuwa kwenye best form mechi ya leo, mtu pekee aliyecheza vizuri ni golikipa wetu. Man wangeweza kupata ushindi mnono, lakini itabidi wajutie siku ya leo kwa sababu watatoka.
 
Kwa kiwango duni walichoonesha Arsenal ktk mechi na Man U sielewi ni kwa jinsi gani ushindi utapatikana. Yaani hawa wavaa nepi na Chelsea hawana jipya zaidi ya makelele meeeeengi. Na wote wawili itakuwa njozi kuchomoka.
 
Ukweli ni kwamba Arsenal haikuwa kwenye best form mechi ya leo, mtu pekee aliyecheza vizuri ni golikipa wetu. Man wangeweza kupata ushindi mnono, lakini itabidi wajutie siku ya leo kwa sababu watatoka.

I do concur with you, it was one of those bad nights for the young guns, how ever Man U failed to capitalize the weaknesses and kill off the game. The game is still open, lets wait and see.
 
Mbu karibu tena ,game imeshaisha

...('baada ya kutokuwepo hewani kwa masaa 24',) Mbu ninarudi tena...😀

Kwanza hongera zenu sana Belinda Jacob, Belo, Icadon, Nziku, Saikosisi, Manda na 'mashetani wekundu' wooooote popote pale mlipo, mnasikia sana?... ila nashangaa presha yenu ya nini ilhali mshatupigilia kamsumari kamoja!

Anyway, 'mcheza kwao hutunzwa!', uzingatieni sana msemo huu...!
 
Welcome back!
Kwakweli ulipotea jana yaani kama vile kilikuwa kipigo cha season?! asante kwa kukubali kushindwa na pia kuwa na matumaini kuwa mtashinda kule Emirates.
Mambo yote ni 5th May!..Its either Ars or Man Utd?!!!
 
Nyie dawa yenu tumeshaijulia...kamata FAB na yule mtoto wa Kifaransa, hapo tutakuwa tumekata supply ya mipira mbele. Still sijawa-wright off u guyz, coz kuna 90min Emirates na anything can happen. Tukutane Emirates J4!
 
...ni ukweli usiopingika kwamba ARSENAL tulikwenda Old Trafford tukiwa 'underdogs', mbaya zaidi na listi ya majeruhi incl (1st teamers) tegemezi; Gallas, Clichy na Van Persie . Kwa hakika team yetu ilikuwa nyepesi compared na Man U ambao 100% ya 1st team walikuwa fit.

...Mkosi unaendelea kutunyemelea, kwani hata huyo Eduardo aliyeingia dakika za majeruhi, eti naye alijeruhiwa tena (nyonga) hatacheza tena! ..ndio kusema returning match (jumanne) pale Imarati listi yetu ya majeruhi imeongezeka!

...Man U nao (huenda) watamkosa Rio, aliyepata fracture kwenye mbavu, lakini Wes Brown sasa yupo fit, huenda akawa pale kati kati na Vidic.

Man U wanahitaji Draw yeyote kusonga mbele, ilhali sie 'washika bunduki' tunahitaji ushindi wa zaidi ya goli moja, au tuombe penalti!

Verdict; Maji yeshaanza kuzidi unga, another 'toothless' (4th) Year 🙁
 
Dawa ni kumtimua huyo Mr. Bean,MBU ushapata timu ya kushangilia kati ya Barca au Chelsea maana MANU huwapendi na wanatinga fainali
 
Dawa ni kumtimua huyo Mr. Bean,MBU ushapata timu ya kushangilia kati ya Barca au Chelsea maana MANU huwapendi na wanatinga fainali

...dah,🙁 subiri jumatano baada ya kipenga cha mwisho nitakupa jibu muafaka, but definately Sitawa support Chelsea, hata wakicheza na 'X-PEL!'

... Inaonekana Jumanne ijayo ushajiaminisha, au sio?
 
Back
Top Bottom