Icadon
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 3,581
- 193
...dah,🙁 subiri jumatano baada ya kipenga cha mwisho nitakupa jibu muafaka, but definately Sitawa support Chelsea, hata wakicheza na 'X-PEL!'
... Inaonekana Jumanne ijayo ushajiaminisha, au sio?
Mambo vipi mzee wa jukwaa la mahusiano? Naona mnalalamika majeruhi majeruhi, wakati sie tunasumbuliwa na hiyo dhahama mlicheka.
Ila ngoma ya Chelsea ngumu, maana naona Xavi, Iniesta na the rest of Barca wanawaponda kweli kweli "kuwa hawakucheza soka".