Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

...dah,🙁 subiri jumatano baada ya kipenga cha mwisho nitakupa jibu muafaka, but definately Sitawa support Chelsea, hata wakicheza na 'X-PEL!'

... Inaonekana Jumanne ijayo ushajiaminisha, au sio?

Mambo vipi mzee wa jukwaa la mahusiano? Naona mnalalamika majeruhi majeruhi, wakati sie tunasumbuliwa na hiyo dhahama mlicheka.

Ila ngoma ya Chelsea ngumu, maana naona Xavi, Iniesta na the rest of Barca wanawaponda kweli kweli "kuwa hawakucheza soka".
 
Mechi yetu na Pompey kesho tunaweza kupeleka vitoto tu na tukapumzisha vifaru vyetu, hata tukifungwa haibadili nafasi yetu kwenye table. Man U ni lazima wapange kikosi chao cha kwanza katika mechi yao na Boro kwa kuwa kila mechi sasa ni muhimu kwao, lets hope this is gonna work in our favour.
 
Welcome back!
Kwakweli ulipotea jana yaani kama vile kilikuwa kipigo cha season?! asante kwa kukubali kushindwa na pia kuwa na matumaini kuwa mtashinda kule Emirates.
Mambo yote ni 5th May!..Its either Ars or Man Utd?!!!

BJ wewe ni GUNNERS au MANU? Maana nilidhani wewe ni wa kwetu au!? SAF ana wasiwasi ndiyo maana anaanza kubwata bila mpango anajua FA Cup kishaikosa sasa ana wasiwasi hakutakuwa na repeatition ya UEFA Cup. Siku hiyo GUNNERS tutandaza boli la uhakika na kuwachapa 2 mtungi. Hamna lenu mawaka huu MANU na mkizembea basi L'pool watawanyang'anya tonge mdomoni na kubaki mikono mitupu 🙂
 
Tangu umeanza kuishabikia Arsenal mshachukua makombe mangapi pamoja na kutandaza boli la uhakika?
 
Mambo vipi mzee wa jukwaa la mahusiano? Naona mnalalamika majeruhi majeruhi, wakati sie tunasumbuliwa na hiyo dhahama mlicheka.

Ila ngoma ya Chelsea ngumu, maana naona Xavi, Iniesta na the rest of Barca wanawaponda kweli kweli "kuwa hawakucheza soka".

...hao Barca ni kama mgema tembo, akisifiwa inakuwa shughuli, sijui kama hiyo jumatano watatoka, nao walini bore kichizi...mwishowe nitakosa team ya kuishangilia fainali (tukitolewa! 🙂)

BJ wewe ni GUNNERS au MANU? Maana nilidhani wewe ni wa kwetu au!? SAF ana wasiwasi ndiyo maana anaanza kubwata bila mpango anajua FA Cup kishaikosa sasa ana wasiwasi hakutakuwa na repeatition ya UEFA Cup. Siku hiyo GUNNERS tutandaza boli la uhakika na kuwachapa 2 mtungi. Hamna lenu mawaka huu MANU na mkizembea basi L'pool watawanyang'anya tonge mdomoni na kubaki mikono mitupu 🙂

...BJ alijificha ficha weee, hatimaye wiki chache zilizopita kajitokeza rasmi kama shabiki wa 'Red Devils'

Dua yako iwe ya kheri BaK, maana nikiangalia kikosi chetu na hiyo game ya J4, imenikalia 'kushoto'!
 
Game ya leo against Portsmouth haina umuhimu mkubwa, I hope Arsene Wenger atatumia busara ya kuchezesha kikosi dhaifu kujiepusha na majeruhi...

...hata kama Pat Rice akicheza centre half, na "gaffer" mwenyewe, Arsene Wenger akicheza Centre forward poa tu!
 
Kwa hii line up na bench liliopo, hata draw itakuwa inalipa leo.....

Arsenal: Fabianski, Sagna, Song Billong, Djourou, Eboue, Walcott, Denilson, Ramsey, Arshavin, Bendtner, Vela. Subs: Mannone, Bischoff, Coquelin, Emmanuel-Thomas, Merida, Randall, Frimpong.
 
Hahah, kweli mmepania jumanne duh!
 
Almunia,Gibbs,Toure,Silvestre,Nasri,Fabregas,Adebayor wote benchi haya sisi tumeshamaliza kazi tunawasubiri Jumanne
 
It looks like its gonna end 3-0 to the young guns! Pompey watajilaumu sana, hii ilikuwa nafasi ya kujihakikishia safety kwenye PL.
 
It looks like its gonna end 3-0 to the young guns! Pompey watajilaumu sana, hii ilikuwa nafasi ya kujihakikishia safety kwenye PL.

Tushashinda na kujiakikishia nafasi ya nne . sasa tuanze safari ya kuakikisha tunaenda Roma. The Blues, you are next kuondolewa nafasi ya 3 kwenye EPL.
 
leo game zote tulitarajia hivi, hakuna mpya. ngoma tuonane jumanne ...
 
Almunia,Gibbs,Toure,Silvestre,Nasri,Fabregas,Adebayor wote benchi haya sisi tumeshamaliza kazi tunawasubiri Jumanne

Belo, tushavuta nafasi ya nne. You are next kwenye bara bara ya kuelekea Roma!!
 
...'below par' Adebayor ataanza game jumanne na Man U, I wish Beyonce awepo uwanjani, labda jamaa atajituma kidogo! 😡
 
Robin Van Persie na Rio Ferdinand watakuwepo
 
Robin Van Persie na Rio Ferdinand watakuwepo

Mkuu,

Ferdinand alibadilishwa na Evans kwa hio labda atacheza au ataingia kipindi cha pili. Van Persie bado ana tatizo la groin kwa hio mzee Wenger bado mpaka asubuhi hii hana uhakika kama Van Persie aanze ili wacheze ule mtindo wa 4-4-2 ambao jana uliwafaa sana Arsenal dhidi ya Portsmouth.

Siku ile na ManU walicheza mtindo wa 4-2-3-1 ambao ulimwacha Adebayo peke yake mbele na hauku-create chance zozote.
 
dogo karudi!!

Van Persie returns to squad for Arsenal

Arsenal striker Robin van Persie and defender Mikael Silvestre have both trained ahead of Tuesday's UEFA Champions League semi-final second leg against Manchester United.
The news is a welcome boost for the Gunners, who lost the first leg at Old Trafford 1-0, after Croatian forward Eduardo was ruled out for three weeks with a groin problem.

Van Persie has also been struggling with groin trouble and has not played since Arsenal's 2-1 FA Cup semi-final loss to Chelsea.

But the Dutchman has returned to training ahead of the second meeting with European champions United and could partner Emmanuel Adebayor in attack as boss Arsene Wenger considers a 4-4-2 system.

Silvestre, meanwhile, was a doubt after he picked up a groin injury versus his former club but could now be in contention to feature.
Robin Van Persie returns to squad for Arsenal - UEFA Champions League - ESPN Soccernet
 
Back
Top Bottom