Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal mdembwedo kabisa, hapo ni nyumbani... Mbu, BAK vipi wakuu? noma kweli.
 
Mara ya mwisho Chelsea imeifunga Arsenal nyumbani kwa idadi kubwa ya magoli ni miaka 40 iliyopita. What a week for Arsenal, poleni ndio ukubwa.
 
Duuh, wiki hii ya ajabu sana. Anyway, ndio khari harisi. Inauma sanaaaaaaaaaaaaa uonapo timu uipendayo inafungwa. Tuangalie nini Wenger atatuambia.
 
Duuh, wiki hii ya ajabu sana. Anyway, ndio khari harisi. Inauma sanaaaaaaaaaaaaa uonapo timu uipendayo inafungwa. Tuangalie nini Wenger atatuambia.

Muungwana, yaani unasubiria Wenger akwambie nini tena? Miaka 5 single yake inayoitwa 'kupika vipaji' imeshachuja na hamna anayeipenda tena. Mi nadhani bodi ya Arsenal sio wajinga tena. Deni la uwanja likishakuwa within reach aah..watamtupia virago, we utaona tu, wala sio mbali.
 
Duuh, wiki hii ya ajabu sana. Anyway, ndio khari harisi. Inauma sanaaaaaaaaaaaaa uonapo timu uipendayo inafungwa. Tuangalie nini Wenger atatuambia.

Kuhama timu ni RUKSA tena BURE. Muda wa kuhama ni huu. lol
 
Duuh, wiki hii ya ajabu sana. Anyway, ndio khari harisi. Inauma sanaaaaaaaaaaaaa uonapo timu uipendayo inafungwa. Tuangalie nini Wenger atatuambia.

Wakati wenye timu wanakuambia,
Arsenal must ''step up'' their transfer dealings this summer if they want to compete with Manchester United, according to major shareholder Alisher Usmanov.

Manager Arsene Wenger this week defended his policy of developing his own talents, rather than spending ''magic money'', in the wake of the Gunners' Champions League semi-final mauling at the hands of United.

Frustration is growing, however, after four years without a trophy, with envious fans left to marvel at the array of established stars available to Sir Alex Ferguson.

The likes of Dimitar Berbatov, Carlos Tevez, Ryan Giggs and Paul Scholes were all left on the sidelines when Tuesday night's second leg kicked off at the Emirates Stadium.

And Usmanov, the Russia-based billionaire who owns 25% of the club's shares, believes Arsenal must spend lavishly this summer if they want to pose a greater challenge to the English and European champions next term.

''At times it was a bit like men against boys,'' he said.

''Does the club need to take a step up? Of course. To be first in the world, to be first in Europe, you must have a much stronger bench.

''Look at United on Tuesday night. They had at least £100m in talent sitting on the bench.''
 
Sasa tuandae majeneza kabisa maana suicides cases zitazidi..na wiki ijayo Man U wanaandaa tafrija ya kusherehea ubingwa na watakuwa full mkoko kujitwalia mwanakondoo asiye na waa..lol
 
Kwenye mpira hamna shetani pale, ni malaika tu..lol
basi malaika wa arsenal atakuwa malaika kampuni.....kaasi alafu mbona arsenal ikifungwa watu mnainua sana bango? thread kama hii ni ya kufunga haina faida.....
 
Mlitegemea nini BOYS VS MEN jamani....ningekuwa mpezi wa Arsenal ningehamia kwa ile Arsenal Ladies maana wale wana uwezo wa kushinda vikombe....
 
basi malaika wa arsenal atakuwa malaika kampuni.....kaasi alafu mbona arsenal ikifungwa watu mnainua sana bango? thread kama hii ni ya kufunga haina faida.....

No way bana, ifungiwe nini sasa? ...tutabanana humu humu mpaka kieleweke. Msimu ndio umekwisha tena huu,...

2008 -2009 Season;

1st. 89 pts Man United
2nd. 86 pts Liverpool
3rd. 83 pts Chelsea
4th. 71 pts Arsenal

2007 -2008 Season;

1st. 87 pts Man United
2nd. 85 pts Chelsea
3rd. 83 pts Arsenal
4th. 76 pts Liverpool

2006 -2007 Season;

1st. 89 pts Man United
2nd. 83 pts Chelsea
3rd. 68 pts Liverpool
4th. 68 pts Arsenal

...ili Arsenal iweze kufanya kweli msimu wa 2009 -2010, itabidi target iwe points 89 kama Man U walivyofanya msimu wa 2006 -2007, na inavyoelekea watamaliza msimu huu.

pheeew!...
 
ili Arsenal iweze kufanya kweli msimu wa 2009 -2010, itabidi target iwe points 89 kama Man U walivyofanya msimu wa 2006 -2007, na inavyoelekea watamaliza msimu huu.

Mpwa nadhani dhamira hiyo itafikiwa iwapo mtafanya usajili wa men zaidi kuliko boys...hivi Eboue alicheza leo? baada ya goli la pili sikuangalia tena nilikuwa busy na pombe na kumsms Belinda!
 
basi malaika wa arsenal atakuwa malaika kampuni.....kaasi alafu mbona arsenal ikifungwa watu mnainua sana bango? thread kama hii ni ya kufunga haina faida.....

Thread haiwezi kufungwa kwa sababu mna kelele sana washabiki wa Mr. Bean..lol
 
Mimi ni mwana Asenal (Washikabunduki) lakini ukweli nachoshwa na aya matokeo ya arsenal
yaani sisi tumekuwa wasindikizaji tu na si washindani? ni lini tutachukua ata FA cup. Wenger inabidi abadilike kwanza aache ufaransa ambao ndio unamlinda silvester beki gani siku zote badala ya kumfuata adui yeye anarudi nyuma kumkaribisha adui azidi kuingia kwenye eneo la hatari? msimu ujao atumie pesa kuleta wachezaji wazooefu na ambao wataleta faida timu
 
Back
Top Bottom