Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

mi hii timu nilishahama longtime ilikuwa inaninyima hata usingizi leo hii nawacheka sana mnavyo hangaika teh teh teh angalieni msije mkajinyonga kama Mkenya....fukuzeni kile Kibabu
 
Kuhama sio dawa kwani kwenye mchezo especially mpira wa miguu kuna mambo matatu
1. kushinda
2.kufungwa
3.droo
sasa unaweza ukahama na uko unakoamia ukakutana na kufungwa utaama tena au?

pamoja na kufungwa kwa asernal lakini lile toto football wanaolicheza si masikhara yaani ni burudani mno hapo ndipo ninapofarijika ata kama tufungwe bao mia kwa mechi moja
 
Jamani huko NAIROBI wote salama?,Karibuni tena Old Trafford Jumamosi
 
Kuhama sio dawa kwani kwenye mchezo especially mpira wa miguu kuna mambo matatu
1. kushinda
2.kufungwa
3.droo
sasa unaweza ukahama na uko unakoamia ukakutana na kufungwa utaama tena au?

pamoja na kufungwa kwa asernal lakini lile toto football wanaolicheza si masikhara yaani ni burudani mno hapo ndipo ninapofarijika ata kama tufungwe bao mia kwa mechi moja
Solution ni kumtimua huyo Mr.Bean,Barca wanacheza TOTAL FOOTBALL na wanashinda iweje nyie mnacheza total football na kufungwa kila siku
 
Mpwa nadhani dhamira hiyo itafikiwa iwapo mtafanya usajili wa men zaidi kuliko boys...hivi Eboue alicheza leo? baada ya goli la pili sikuangalia tena nilikuwa busy na pombe na kumsms Belinda!

...msimu ujayo tutakuwa juu ya Chelsea,...itakuwa heri tukiwa juu ya Liverpool vile vile... lakini Man U bado wanaonekana watatawala tena, unless Ronaldo aende (kweli) Madrid.

Solution ni kumtimua huyo Mr.Bean,Barca wanacheza TOTAL FOOTBALL na wanashinda iweje nyie mnacheza total football na kufungwa kila siku

...duh, washabiki wa Man U mmemshikia bango kweli Wenger atimuliwe! ha ha haa...

One more season please!
 
Sitoshangaa kusikia mashabiki wa Arsenal bado wanategemea watakuja kupata The Invisibles part II. Kuna mawili,
I.Wenger aondoke
II. Muache ubahili na muinvest heavily kwenye experienced players wakati mnaendelea kuwakuza hawa madogo wenu.
Lakini mking'ang'ania sera zenu za kujifunga mikanda mtaishia kuwa wasindikizaji na kuwakuzia wengine vipaji.
 
...msimu ujayo tutakuwa juu ya Chelsea,...itakuwa heri tukiwa juu ya Liverpool vile vile... lakini Man U bado wanaonekana watatawala tena, unless Ronaldo aende (kweli) Madrid

HAhahah mkuu maombi yako bila investment itakuwa ngumu...tunapunguza wazee na kuleta changamoto kubwa zaidi Golikipa twaongeza yule Hart wa Man City, Washambuliaji Klaas-Jan Huntelaar wa El madrido

David Villa - Valencia

Pavyelchenko Totenham wanamisuse huyu jamaa...

Na back up nyingine kwa Ashley dogo wa Russia Zirkov

Kwa hiyo Mziki wetu utakuwa mkubwa sana ukichanganya na Yosso akina Kakuta, Stoch, Menciene, Tailor etc....
 
...msimu ujayo tutakuwa juu ya Chelsea,...itakuwa heri tukiwa juu ya Liverpool vile vile... lakini Man U bado wanaonekana watatawala tena, unless Ronaldo aende (kweli) Madrid.

UNAOTA HUKU UPO MACHO WEWE

...duh, washabiki wa Man U mmemshikia bango kweli Wenger atimuliwe! ha ha haa...

HUYO MR. BEEN LAZIMA AMWAGWE HANA TOFAUTI NA YULE MSHKAJI WA REAL MADRID; WENZENU BEYERN WAMESHAFUNGUA UKURASA WA TIMUA TIMUA Y MAKOCHA

One more season please!
JARIBUNI 2012/13 😕 TEHE HEE HEE
 
''At times it was a bit like men against boys" - Maneno haya yalisemwa na Alisher Usmanov, who owns 25% of Arsenal club's shares, after the Champions League exit at the hands of the Red Devils

Kwa nini wasimpe Wenger mshiko? ni aibu sana hivi vipigo vya mfululizo. Frankly, mimi nimefurahi vipigo vinakuja muda mzuri ili at last watambue umuhimu wa kuleta experenced players na kuacha na sera zisizo na msingi
 
Mkuu, AW kama manager kaaminiwa fungu la usajili, na asajili mchezaji amtakae. Na ni yeye Wenger ambaye kaanzisha hiyo policy ya above 30yrs wapewe contract ya mwaka mmoja mmoja. Board siyo ya kulaumiwa hapo.

pili, Kabla ya kuanza msimu wa 2008 -2009, Arsenal board walimpa Arsene Wenger £70m za usajili... hakuzitumia!

Fabregas alipoumia ndipo Wenger alipolazimika kutumia £20m kumsajili Arshavin kwenye dirisha dogo la January. Tena hiyo ilitokana na presha za 'kaburu' Ivan Gazidis alipompa ultimatum Arsene Wenger, "Arsenal to finish out of top four is a failure!"
 
Solution ni kumtimua huyo Mr.Bean,Barca wanacheza TOTAL FOOTBALL na wanashinda iweje nyie mnacheza total football na kufungwa kila siku

kwakuwa Barca wanaicheza hiyo Total football Spain. Kama huamini utaona matokeo ya 'Total Football' vs Man United May 27 pale Rome,

....🙂 najua unachekelea kwa jibu hili!
 
Pili, Kabla ya kuanza msimu wa 2008 -2009, Arsenal board walimpa Arsene Wenger £70m za usajili... hakuzitumia!

Naanza kuamini kuwa uwezo wa AW ni mdogo. Anataka aendelee kubaki na watoto wasio na uwezo ili hata asiposhinda chochote, jibu litakuwa lile lile - ni watoto, tuwape muda zaidi!!

Uwezo wa AW umegota - atimuliwe!
 
Agrrrrr!..Niliumia kama wachezaji wa Arsenal yaani 4-1, bora mngegawana masikitiko na umasikini (Sululu/Sare) na Chelsea ila ndo hivyo tena..Jiandaeni na Man U
 
...nasikia uchungu nikifikiria jumamosi ndani ya Old Trafford Man U wakitawazwa mabingwa kwa mwaka wa tatu mfululizo ("the treble") wa EPL...

lakini wakati huo huo, nafarijika siku hiyo itakuwa mwiba mchungu kwa AW kulishuhudia hilo! I hope itakuwa wake up call kwamba experiment yake imeshindikana!

...mwenziwe SAF ameijenga team mpya baada ya kuwauza big names; Juan Sebastian Veron, Ruud Van Nistelrooy na David Beckham ambao nusura wam-cost kibarua chake msimu wa 2001-2002 na 2004 -2005.

Inauma, lakini bora United au Liverpool wachukue EPL title kuliko CHELSEA 🙁
 
Inauma, lakini bora United au Liverpool wachukue EPL title kuliko CHELSEA

Hata kama ningekuwa mimi 4-1 was a big humiliation on the home ground!
 
...te he heee 😀 haya bana!

Masikini akipata......ni msemo tu lakini simsemi mista, ha ha!.

Angalau alifarijika na ushindi huo dhidi yenu..Pole mkuu maana kinauma,bado weekend hii na Man U!.
 
Back
Top Bottom