Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
namuangalia rosicky hapa alikuwa na nafasi nzuri kufunga lakini bahati haikuwa yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endele kutupa updates mkuunamuangalia rosicky hapa alikuwa na nafasi nzuri kufunga lakini bahati haikuwa yake.
Please accept my sincere apologies kwa kuwachafulia hewa... i thought upenzi wa kweli wa futiboli unanoga pakiwa na wapinzani pia... Poleni na masahibu yote yanayowakuta lakini kimila huwa hatufukuzi mtu msibani... Braza Balantanda hata wewe!!!!?????
Me zipping up now!!!!
tumewazoe manake hata kocha wenu kaonekana anapiga chabo game za timu nyingine za pre season.chabo mpaka mechi za pre season kweli kiboko lool....MTM komaa nao hivyo hivyo, usirudishe majeshi nyuma. Huu ushabiki wa kuandika kwenye thread ya team yeyote kutoa donge lako tumeuanza enzi na enzi na palinoga sana,...
nachonga makali ya kuanza kushambulia majukwaa yenu i.e bwawa la maini, Chelski na Manure!...
Duh, ama kweli EPL inakaribia kuanza, hata Balantanda karudi jamvini! 😀...likizo inakaribia kuisha, soon tutawaona tena kina Saikosisi, Manda, Nziku, Aljuniortz, Quemu, Masanilo na BJ hata wale CHELSKI damu, Invisible na Abtichaz kwenye anga hizi 😀
Adebayor huyooo ameshatua Manchester kwa ajili ya medical na kutie some loose ends.
Arsenal manager Arsene Wenger believes that Manchester City will be getting a 'special' player in Emmanuel Adebayor.
source; Sky Sports | Football | Premier League | News | Wenger expects Ade exit
ha ha ha wenger kwenye biashara anakuwa mfanya biashara mzuri tu na kwenye kufundisha anafundisha vizuri tu lol....ha haa... halafu AW naye, eti 'special' player! ni sawa na kusema, "huu mtumba nilokuuzia ni mpya kabisa!"
sasa wenger apeleke nguvu kwa huntelaar au kama vipi hela hio achukue defensive midfielder wa nguvu alafu arshavin atacheza mbele na van persie.
Sikuandika hapa hiii issue lakini hata kabla Fergie hajamsajili Owen, nilikuwa kila siku nasema 'kama ningekuwa Wenger ningemchukua' ,he was available for free and desperate for a move to a big side, am sure atafunga magoli mengi United kutokana na service zitakazokuwa zikimzunguka tofauti na alipokuwa NUFC. Sasa bargain ninayoiona ni Ruud Van Nielstroy, he wont cost much and will score us many goals. Its clear, we are not in a position to compete wit other big boys in Europe, tunatakiwa tuwe wajanja!





