Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

wakuu kuna fantasy kleague ya jamiiforum kule kwenye yahoo groups.kajiungeni hili tushindane msimu ukianza.group id # 696 password tanzania.
 
Mkuu,

Mimi sidhani kama Wenger atahitaji mtu wa aina ya Van Nielstroy. Kwanza ni injury prone na umri kidogo umekwishasogea, kwa hio itakuwa ngumu kumfikiria.

Mchezaji ambae mpaka jana Wenger amekiri kuwa huenda akamsajili ni mshambuliaji wa Bordeaux Marouane Chamakh ambae ni Mmoroko na ambae ana miaka 25 na ni mfungaji mzuri tu.

Kwa hio tungojee Alhamisi ambapo kocha wa Bordeaux Laurent Blanc amesema ndio watajadili suala la Chamakh.

Hayo ni mawazo yangu.

Jana Arsenal walicheza pale uwanja wa ndani wa Barnet, timu ambayo inacheza daraja la pili na waka-draw 2-2. Mchezaji mpya mkoba Thomas Vermaelen na Tomas Rosicky ambae alikuwa majeruhi kwa miaka mitatu walijaribiwa.

Hapo chini nimeweka picha za wachezaji wa Arsenal wakiwa pale ndani ya uwanja wao wa mazoezi.

View attachment 5314

View attachment 5315

View attachment 5316

View attachment 5317

View attachment 5318

View attachment 5319
mimi naona huntelaar angetufaa sana.sasa sijui wenger anampango gani au kama atamtumia arshavin na van persie.na kama ndio hivyo basi atleast anunue defensive midfield ya nguvu hili song na denislon wawe back up.naona song alipiga game vizuri sana last season.
 
Arsenal bye bye kwenye Top Four..

Nakubaliana nawe kabisa hii timu yetu msimu huu sijui kama tutakuwa hata katika top 8. Ni mdebwedo wa hali ja juu kuiachia timu ambayo ilikuwa karibu kabisa na kileleni na ilihitaji few more good players kuweza kushinda EPL, sasa hivi nadhani wachezaji wengi wa GUNNERS watakuwa wamekata tamaa na si ajabu baadi yao wakaondoka kati ya sana na kipindi kifupi cha usajili katika ya December na January 2010.

Wenger anastahili kuzomewa kila siku iendayo kwa Mungu na uwanja si ajabu hata usifikishe half of its capacity. Miye nitabaki Arsenal with expectation kwamba wanaweza kubadili mwelekeo wa timu in few years lakini timu ya kuogopa mwaka huu ni ManCity maana mwarabu kaamua kuweka pochi lake wazi kabisa ili kuimarisha timu hiyo, ukiondoa majeruhi sioni timu yoyote ya kuizuia timu hiyi kuutwaa ubingwa, lakini tusisahau katika dakia 90 chochote kile kinaweza kutokea hasa kama timu imejiamni kupita kiasi.
 
Nakubaliana nawe kabisa hii timu yetu msimu huu sijui kama tutakuwa hata katika top 8. Ni mdebwedo wa hali ja juu kuiachia timu ambayo ilikuwa karibu kabisa na kileleni na ilihitaji few more good players kuweza kushinda EPL, sasa hivi nadhani wachezaji wengi wa GUNNERS watakuwa wamekata tamaa na si ajabu baadi yao wakaondoka kati ya sana na kipindi kifupi cha usajili katika ya December na January 2010.

Wenger anastahili kuzomewa kila siku iendayo kwa Mungu na uwanja si ajabu hata usifikishe half of its capacity. Miye nitabaki Arsenal with expectation kwamba wanaweza kubadili mwelekeo wa timu in few years lakini timu ya kuogopa mwaka huu ni ManCity maana mwarabu kaamua kuweka pochi lake wazi kabisa ili kuimarisha timu hiyo, ukiondoa majeruhi sioni timu yoyote ya kuizuia timu hiyi kuutwaa ubingwa, lakini tusisahau katika dakia 90 chochote kile kinaweza kutokea hasa kama timu imejiamni kupita kiasi.[/QUOTE
mkuu na wewe ume give up? haya nitakukumbusha maneno yako msimu ukianza utaona.hii ndio big season for arsenal utaona.
 
hivi kama kile kikosi cha msimu ulioisha kuna mtu alitegemea arsenal kumaliza top 4? na sidhani kama kuna kocha yoyote epl angeweza kumaliza top 4 na kile kikosi zaidi ya wenger."WENGER KNOWS" na nina huakika kafanya huamuzi mzuri sana kumuuza adebayor manake jamaa aliridhika mapema sana sio kama waafrika wenzake wanaojituma.kama vipi si arudishe intrest kwa kalou?
 
mkuu na wewe ume give up? haya nitakukumbusha maneno yako msimu ukianza utaona.hii ndio big season for arsenal utaona.

Mkuu msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Kwa maoni yangu katika misimu miwili iliyopita the best player alikuwa ni Adebayor, sasa tumemuuza, halafu hakuna usajili wowote wa maana tuliofanya. Kuanzia August 15 na kipindi cha Xmas kitakuwa ni very crucial kuhakikisha timu ina record nzuri vinginevyo Wenger anaweza asimalize msimu, lakini yeye si wa kulaumiwa kama hakupewa pochi la uhakika ili kuongeza nguvu ya timu basi hana jinsi ni sawa na kutaka kumlaumu dobi wakati kaniki ndiyo rangi yake. Inawezana wakafanya maajabu na kutushangaza wengi ambao tumekata tamaa na timu yetu. Tusubiri tuone Mkuu.
 
adebayor last season wasnt his best.adebayor mzuri lakini nina huakika anauwezo wa kufanya zaidi ya pale sema hakutaka kujituma.nafasi nyingi sana za wazi alikuwa anakosa ambazo sidhani kama kuna timu yoyote inaprovide open chances kama zile.kitu kingine adebayor hakuwa ana uwezo wa kuface defenders na ilikuwa inasababisha sana kupoteza mipira tunapohitajika kucheza na striker mmoja mbele.
mie nitakukumbusha na utaona mtu ambae atapewa nafasi ya adebayor mambo yake.sisi wazuri sana kwenye kucreate chances .
 
wakuu kuna fantasy kleague ya jamiiforum kule kwenye yahoo groups.kajiungeni hili tushindane msimu ukianza.group id # 696 password tanzania.
mkuu mambo ya kutupeleka huko yahuu mbona shida......kwanini usiweke hapa tu......iam missing something
 
adebayor last season wasnt his best.adebayor mzuri lakini nina huakika anauwezo wa kufanya zaidi ya pale sema hakutaka kujituma.nafasi nyingi sana za wazi alikuwa anakosa ambazo sidhani kama kuna timu yoyote inaprovide open chances kama zile.kitu kingine adebayor hakuwa ana uwezo wa kuface defenders na ilikuwa inasababisha sana kupoteza mipira tunapohitajika kucheza na striker mmoja mbele.
mie nitakukumbusha na utaona mtu ambae atapewa nafasi ya adebayor mambo yake.sisi wazuri sana kwenye kucreate chances .

Mkuu you are entitled to your opinion, but you must also remember that last season Adebayor spent a lot of time on the bench due to injuries, but at the same time he was the best scorer. Pia kujituma kunatokana na timu kuonyesha efforts za kutaka kuimarisha timu ili iweze kushinda, wachezaji wanapoona timu haiweki efforts zozote ili kuimarisha timu weengi hukata tamaa na wengine huamua kuhamia timu nyingine.
 
Mkuu you are entitled to your opinion, but you must also remember that last season Adebayor spent a lot of time on the bench due to injuries, but at the same time he was the best scorer.
i think he didnt step up when we needed him thats all and am sure we will not miss him that much.sio peke yangu naona haya na ndio maana kauzwa.
 
Arsene Wenger kwa sasa hana plan yoyote ile ya kununua mchezaji mwingine isipokuwa kama mazoezi ya hii summer yataleta hitaji la kununua mchezaji.

Adebayo alikuwa ni mchezaji ambae Wenger alipanga tangia mwezi March kumuuza isipokuwa kwa sababu anazozijua yeye akamkawiza mpaka leo hii ambapo anapata 25 milions, ikumbukwe Ade aliponunuliwa kutoka Monaco aligharimu 7millions tu.

Tatizo la Adebayo ni kwamba alikuwa ni mchochezi wa unrest ndani ya dressing room na hali hii haikumpendeza Arsene at all.

Arsenal ita-thrive bila Adebayo na ni kweli alikuwa ni mchezaji mzuri lakini kwa tabia yake ya kupenda pesa kwa kuwa too much demanding ndio imetufanya wapenzi tuwe na chuki dhidi yake na pressure imefanya auzwe.

Tukiangalia safu ya ushambuliaji kuna Van Persie, Arshavin, Walcott, Bendtner na Eduardo.

Nyuma kuna Manuel Almunia, Bakary Sagna, Gael Clichy, Thomas Vermaelen, Kolo Toure au Kieran Gibbs,Phillipe Senderos (amerudi kutoka AC Milan alikokuwa kwenye loan), Alexander Song na Johan Djourou amerudi kutoka Birmingham alikokuwa kwenye loan), hizi ni sets mbili za mabeki.

Pia kuna wale wa bench kama William Gallas, Armand Traore na Mikael Silvestre.

Viungo ni pamoja na Abu Diaby, Cesc Fabregas, Tomas Rosicky, Samir Nasri, Denilson, Emanuel Ebue, Jack Wiltshire, na Aaron Ramsey.

Arsenal bado ina fire power na ni Andrey Arshavin ambae analeta uwiano wa ushambuliaji na msimu ujao yupo eligible kucheza CL.
 
Last edited:
Tusubiri tuone maana msimu haupo mbali hapo August 15 tutaanza kuujua ukweli na wanaweza kabisa kufanya vizuri hasa ukitilia maanani wachezaji nao wanataka kudhihirisha kwamba timu yao haikuwa inamtegemea mchezaji mmoja au wawili tu, lakini kwa mtazamo wangu timu yetu si nzuri, na inawezekana kabisa kuwa mtazamo wangu si sahihi.
 
Arsene Wenger kwa sasa hana plan yoyote ile ya kununua mchezaji mwingine isipokuwa kama mazoezi ya hii summer yataleta hitaji la kununua mchezaji.

Adebayo alikuwa ni mchezaji ambae Wenger alipanga tangia mwezi March kumuuza isipokuwa kwa sababu anazozijua yeye akamkawiza mpaka leo hii ambapo anapata 25 milions, ikumbukwe Ade aliponunuliwa kutoka Monaco aligharimu 7millions tu.

Tatizo la Adebayo ni kwamba alikuwa ni mchochezi wa unrest ndani ya dressing room na hali hii haikumpendeza Arsene at all.

Arsenal ita-thrive bila Adebayo na ni kweli alikuwa ni mchezaji mzuri lakini kwa tabia yake ya kupenda pesa kwa kuwa too much demanding ndio imetufanya wapenzi tuwe na chuki dhidi yake na pressure imefanya auzwe.

Tukiangalia safu ya ushambulaji kuna Van Persie, Arshavin, Rosicky, Walcott, Bendtner na Eduardo.

Nyuma kuna Manuel Almunia, Bakary Sagna, Gael Clichy, Thomas Vermaelen, Kolo Toure au Kieran Gibbs,Phillipe Senderos, Alexander Song na Johan Djourou, hizi ni sets mbili za mabeki.

Pia kuna wale wa bench kama William Gallas, Armand Traore na Mikael Silvestre.

Viungo ni pamoja na Abu Diaby, Cesc Fabregas, Tomas Rosicky, Samir Nasri, Denilson, Emanuel Ebue, Jack Wiltshire, na Aaron Ramsey.

Arsenal bado ina fire power na ni Andrey Arshavin ambae analeta uwiano wa ushambuliaji na msimu ujao yupo eligible kucheza CL.
na soko la wachezaji linavyopanda bei watu ndio watakuja kuona umuhimu wa watoto alikuwa nao wenger.huyo jack wilshere noma huyo ndio future ya arsenal na uingereza.nadhani ade alimpata kwa pound mil 3 tu kutoka monaco.
 
Mechi sita muhimu kwa Arsenal.

1. 15 August vs Everton-Away

2. 22 August vs Portsmouth-Home

3. 29 August vs Man United- Away

4. 12 September vs Man City- Away

5.19 September vs Wigan -Home

6. 26 September vs Fulham- Away

Hizi mechi ndizo zitatoa mwelekeo wa Arsenal kwa msimu ujao wa ligi.
 
Kama tukiweza kuwatungua Everton na MANU kwao halafu at least kutoa draw na ManCity na kushinda hizo nyingine dhidi ya Portsmouth, Wigan na Fulham basi tutakuwa tumeanza vizuri sana.
 
Kama tukiweza kuwatungua Everton na MANU kwao halafu at least kutoa draw na ManCity na kushinda hizo nyingine dhidi ya Portsmouth, Wigan na Fulham basi tutakuwa tumeanza vizuri sana.
mimi naomba hule mchezo wetu wa kufungwa na timu ndogo ndogo husitokee huu msimu lool.sema kama ulivyosema hizo mechi zitasema mengi sana kuhusu msimu wetu.
 
Back
Top Bottom