Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna article inasema nyumbu wana spending ya CL ila mapato yao hayaruhusu hata spending ya Europa

Screenshot_2025-01-23-21-07-09-935_com.android.chrome-edit.jpg
Screenshot_2025-01-23-21-04-56-944_com.android.chrome-edit.jpg
 
Ukiwa shabiki wa arsenal utafurahia goli la kwanza mechi ya juzi UEFA alilofunga Declan rice

Ila ukiwa mpenzi wa mpira utachukia namna striker KAI alivyohangaika kutoa pasi kwa mido RICE badala ya kufanya simple turning na kuscore.

Nimemfanyia critical analysis Kai harvets bila chuki Wala bias na kuhitimisha kwamba huyu ni squad player.

Kuna watu wataleta numbers na records za Kai na wataenda mbali zaidi watamlinganisha na other strikers in the elites Europe leagues ila wasisahau kitu kidogo tu.

How goals are scored,in what condition, pressure of the match in which goals are scored is what makes a difference between strikers
 
Kitakwimu ukimuangalia Kai utasema kwamba jamaa mbona yuko sawa. Why? Coz kwa sasa Arsenal inasemekana inamtaka Cunha, but namba zao hazipishani sana kwenye assists na magoli.

Hii debate niliikuta Reddit. Mmoja akaargue kwa namba ya Cunha, jinsi Wolves wameanza msimu na waliomzunguka kumtengenezea nafasi ni sawa na waliomzunguka Kai?

So in all honesty, Kai hatoi msaada ambao unatarajia ST akupe na ukubwa wa mshahara wake.
 
Back
Top Bottom