Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

i think chamakh will come to arsenal and hangeland.

...Hangelaand tayari keshakuwa Cup tied kwenye UEFA ( Europa league), jana amecheza kwenye play-offs na FK Vetra. Hata akija Arsenal, yatakuwa yale yale sawa na Arshavin msimu ulokwisha wa Champions league.

Maroune Chamakh naye si ndio yatakuwa ya kina Adebayor, kwenda kushiriki Africa Cup of Nations?

At six feet 2 inches, he is very strong in the air and works tirelessly for the team, holding up possession and bringing midfielders into play. Although his strike-rate arguably does not reflect that of the most clinical striker, his contribution to the team's play is invaluable

...kwa sifa hizo hapo juu, nam compare na Nicklas Bendtner. Ya nini kuwa na washambuliaji wawili wenye sifa sawa, ikiwamo 'ukame' wa magoli?

Hatufai japo AW knows best!...
 
...Champions League play-offs draw zimefanyika mchana huu; 1st leg ugenini! 🙂

ARSENAL vs CELTIC (scotland)
 
bora tumewapata celtic hao hamna noma.
kuhusu chamakh kwenda africa huo mda si wanapewa nafasi wakina mastriker wengine.wenger kuhusu hangeland wenger ndio kaaribu kuchelewa nilisahau kama yuko cup tied.chamakh usijali atafunga magoli tu nafasi zinazo patikana arsenal sio kama timu nyingine yoyote.
 
hivi mnajua masela kwamba tuna game 6 ndani ya siku 14? this is a big test for us n if we can over come this then we should expect a goood season.
 
ndio nacheki game hapa arsenal vs valencia nina wasi wasi sana na hii style ya 4 3 3.half time bila bila.4 3 3 proffesor inabidi harudi tu kwenye 4 4 2.kipindi cha pili kimeanza,wilshere.eduardo na walcot wameingia. mpira umeisha tumefungwa 2-0.hio formation ya 4 3 3 ndio kitanzi chetu msimu huu kama wenger ataendelea nayo.hakuna chances yoyote tulio create zaidi ya kila mtu anao anao.
 
Last edited:

Mazee vp? mboni umeshindwa ku-conclude insha yako..he he he

Final Score

CF Valencia 2 - 0 FC Arsenal
 
duuuhhh, tumefungwa?

hehe he, kaaazi kweli kweli...'walisema' mechi ya leo ndio taswira ya EPL itavyokuwa, kwa mwendo huu sijui!!! 🙁
 
mkuu 4 3 3 hii kama wenger ndio kweli ataitumia basi hana nia njema na timu yetu msimu huu.manake hakuna free style yoyote ya movement zetu kabisa.leo tumecheza kama timu ya daraja la pili ovyo ovyo tu.
 
Mimi sio mtaalamu wa fomesheni, lakini nimeona tu through balls zapenya tu pale kati ya back four na holding midfielder, na mabeki wenyewe akina Silvestre kukimbiza na kuzuia nafasi hawawezi , Ingawa Song ana-improve nadhani kweli formation ni ovyo-ovyo na hali ikiendelea hivi huu ni msimu mwingine wa kuvuna ubua.

Halafu Bendtner anachezeshwa wingi ya kulia ..duh yaani sioni hata mantiki. Bendtner ni mrefu hivyo ni mzito na ni mzuri kwa vichwa sasa kwenye wings sijui anapelekwa akafanye nini? Pia naanza kuona pengo la Adebayor maana pale mbele hamna mchezaji anayeweza kukaa na mpira, lishe mgogoro wamejaa akina Eduardo, RvP na Bendtner, hata Arshavin. Na Fab naona amejitahidi kucheza one-two kidogo na Ebue, lakini the rest of the team hamna connectivity kila hajui afanye nini. Kwa kifupi timu haina maelewano uwanjani.
 
kinachomfanya ben haonekane winger ndio hio formatiom 4 3 3.kati alikuwa song,cesc,diaby.mbele arshavin,ben ,rvp.matokeo yake tukawa hatuchezi pasi zetu za kawaida huku tunaenda kushambulia mpira ukitoka kwa cesc unaemfuata anajaribu kutaka kwenda kufunga mwenyewe.kuna kipindi kama ulistukia tukawa kama tunafukuza mpira kwa kundi.jamaa walikuwa wanatupiga counter attack nyingi sana kwa vile tulikuwa hatujajipanga vizuri.hatuwezi kuanza na striker watu wakati tuko weak kwenye defensive midfield yetu na ndio maana tulizidiwa midfield pale.mimi nashauri turudi kwenye formation yetu tu ya 4 4 2.haina haja ya ben kuanza arshavin na van persie wanatosha mbele.kati muache walcot kulia hawakimbize pale kati cesc na denilso/song kushoto kwa vile nasri hayupo amtumie wilshere au eduardo lakini yule jamaa diaby simpendi kinoma.
 
Mimi sio mtaalamu wa fomesheni, lakini nimeona tu through balls zapenya tu pale kati ya back four na holding midfielder, na mabeki wenyewe akina Silvestre kukimbiza na kuzuia nafasi hawawezi , Ingawa Song ana-improve nadhani kweli formation ni ovyo-ovyo na hali ikiendelea hivi huu ni msimu mwingine wa kuvuna ubua.

Halafu Bendtner anachezeshwa wingi ya kulia ..duh yaani sioni hata mantiki. Bendtner ni mrefu hivyo ni mzito na ni mzuri kwa vichwa sasa kwenye wings sijui anapelekwa akafanye nini? Pia naanza kuona pengo la Adebayor maana pale mbele hamna mchezaji anayeweza kukaa na mpira, lishe mgogoro wamejaa akina Eduardo, RvP na Bendtner, hata Arshavin. Na Fab naona amejitahidi kucheza one-two kidogo na Ebue, lakini the rest of the team hamna connectivity kila hajui afanye nini. Kwa kifupi timu haina maelewano uwanjani.

...bora huyo Chamakh aje, nasikia naye ni mmiliki mzuri wa mpira. Dau lake lishashuka toka £16m, mpaka £10m.

'Mchumi' Arene Wenger kang'ang'ana (kutaka) kumnunua kwa 'bei ya jioni', £6m...
 
Sifuatiliagi Ligue 1 kujua wanavyocheza hawa akina Chamakh lakini nadhani kwenye ku-control mpira na vipaji binafsi wako juu. Sasa kibabu Wenger asipomnunua kabla ya hizi siku 14 za mwanzo halafu mambo yakienda kombo atakuwa mwenye kwenye wakati mgumu.

Wenger hajui kuwa kuna wachezaji injury prone kibao na gemu za mwanzo zote ni muhimu. Ni ubahili wa ajabu sana anaotaka kuufanya wakati angemnunua mapema kijana angekuwa tayari ameanza ku-train na wenzake na hivyo kuwa fit mapema.

Ngoja Celtic wawanyuke kwenye first leg ndo atie akili.
 
Chamack kafunga goli kwenye game ya ufunguzi huko France
 
Sifuatiliagi Ligue 1 kujua wanavyocheza hawa akina Chamakh lakini nadhani kwenye ku-control mpira na vipaji binafsi wako juu. Sasa kibabu Wenger asipomnunua kabla ya hizi siku 14 za mwanzo halafu mambo yakienda kombo atakuwa mwenye kwenye wakati mgumu.

Wenger hajui kuwa kuna wachezaji injury prone kibao na gemu za mwanzo zote ni muhimu. Ni ubahili wa ajabu sana anaotaka kuufanya wakati angemnunua mapema kijana angekuwa tayari ameanza ku-train na wenzake na hivyo kuwa fit mapema.

Ngoja Celtic wawanyuke kwenye first leg ndo atie akili.

...Golini hatuzungumzii?, Almunia akiumia ndio tutatia akili,

Fabianski kama panzi tu...anaruka huku, anaruka kule...makeke meeeeengi!
 
ndio nacheki game hapa arsenal vs valencia nina wasi wasi sana na hii style ya 4 3 3.half time bila bila.4 3 3 proffesor inabidi harudi tu kwenye 4 4 2.kipindi cha pili kimeanza,wilshere.eduardo na walcot wameingia. mpira umeisha tumefungwa 2-0.hio formation ya 4 3 3 ndio kitanzi chetu msimu huu kama wenger ataendelea nayo.hakuna chances yoyote tulio create zaidi ya kila mtu anao anao.

Mwaka wenu huu kushinda vikombe vyote mkuu........kwi kwi kwi
 
Wenger: Injury hit squad
Related links

Arsene Wenger has revealed yet more injury concerns as his depleted Arsenal side prepare to travel to Everton on Saturday.
Lukasz Fabianski
spacer.gif
and Johan Djourou
spacer.gif
have been added to Wenger's injury list which already included the likes of Theo Walcott,
spacer.gif
Samir Nasri
spacer.gif
and Tomas Rosicky.
spacer.gif

No.2 keeper Fabianski has undergone surgery on his troublesome knee injury, while defender Johan Djourou will also miss the start of the season through a knee injury.
"We have some problems," Wenger told Arsenal TV Online.
"We have Theo Walcott, who is not available. [Abou] Diaby has a little groin problem, but he could be available.
"[Also] we have lost Johan Djourou and Lukasz Fabianski because they had injuries.
"Lukasz had a cartilage surgery. He will be out for two months. Johan has a knee problem that will take some time to cure - one month.
"Thomas Vermaelen
spacer.gif
played 45 minutes for Belgium last night and came through okay so he will be available."
Wenger feels both Rosicky and Nasri are rehabilitating well and expects to have the former back in action within two weeks as the Gunners seek to end their trophy drought this season.
"Tomas Rosicky is two weeks away," said Wenger. "Samir Nasri [has been out] three-and-a-half weeks now, but it will be six or seven weeks until he is available for training
 
Wenger is confident, more than ever, that his club will finish on top of everyone else. Speaking to BBC Sport, he said: "I envisage only one order. That is Arsenal finishing on top and all the rest can do what they want"

...you've been told!...asiyesikia na asikie!
 
Bean hako kaconfidence anakatoa wapi ati? mara analalamika injuries mara sijui nini, ataendaje huko top wakati squad yake haijatulia right at the begininng of the season?
 
Back
Top Bottom