Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

There are so many ways of killing a rat. Ukitaka kujua mashabiki wa timu fulani wewe wachokoze tu. watamwaga sera mmoja baada ya mwingine. Ninahisi crashwise, masanilo na mtm nyie arsenal!

There is even a simpler way to kill a mouse!!! just go to Liverpool fc thread and you will know where i stand!!!!!!!!!!

I am very keen to learn from you, you remind me of my uni lecturers who were always conclusive and negative!!!
 
There are so many ways of killing a rat. Ukitaka kujua mashabiki wa timu fulani wewe wachokoze tu. watamwaga sera mmoja baada ya mwingine. Ninahisi crashwise, masanilo na mtm nyie arsenal!

Ur so smart!! hutaki kukubali yaishe tu?
 
Come on arsenal!come on arsenal! knew we could come* back. no doubting wenger. arsenal rock

Yeah, Arsenal rock! With very beautiful last two goals! lol.
The second was offside and a handball. And looks like the keeper was fouled! Anyway, congratulation!
 
Wewe keen mbona umenyamaza! Unaonekana ni mmoja ya wale wanaonawa mikono baada ya kula 2 au wanaobishia wenzao kwa sauti kubwa bila kusikiliza wenzao wanachosema. Wot a un-fkcuing-believable comeback 4m th Gunnerz! Hureeee!
 
There are so many ways of killing a rat. Ukitaka kujua mashabiki wa timu fulani wewe wachokoze tu. watamwaga sera mmoja baada ya mwingine. Ninahisi crashwise, masanilo na mtm nyie arsenal!

U need a punch on u're cheeck......I am the bluez kiazi weeee!
 
duuh naona tulianza kwa makosa madogo madogo uzuri wake tuliweza kushinda manake ingeua sana confidence.naona leo tulikuwa tunapoteza mipira hovyo hovyo tu.naona tumeanza kwa kunyata sana inabidi wenger akae chini na vijana wajipange upya la sivyo kutakua na milima na mabonde msimu huu.
 
Yeah, Arsenal rock! With very beautiful last two goals! lol.
The second was offside and a handball. And looks like the keeper was fouled! Anyway, congratulation!
jamaa unatuchukia sana.lile goli la pili vagi lilotokea pale hivi unategemea weak handball kama hile kutolewa.na goli letu la tatu kwa vile tumefunga na goti ndio hujalipenda? timu zote zifunge scrappy goals but when arsenal do it ,its a problem.
 
Daah ila wale watoto walitaka waturushe roho?.....thnx at end tukawa washindi!
 
mi naona arsenal ikopoa,sema watu wanachukulia kupoteza hiz mechi mbili ndio kama arsenal haipati kombe,jamani kuna mechi 38,e utafunga zote.hiii safari kwa washabiki wazoefu hawatishiki.kwa uefa mi sina shaka ilia tu kwa hapo baadae offcouse mambo yatakua magumu ingawa tunaeza ku succeed,c unajue moute moute wa man,baka,madrid,chelsea na liver?lakini mi naamini mpira unadunda kombe tunauwezo wa kulibeba
 
Poleni mabingwa watarajiwa, kina Richard,Yoyo,Kibunango,Balantanda,Shadow
Naona kabaki Mbu na Wenger peke yake

Belo,mi nipo mazee,sema ratiba zinabana kiasi kwamba inashindikana kuingia JF,ila nipo pamoja na wadau wote wa The Gunners...sijawakimbia jamani...Pa1
 
mi naona arsenal ikopoa,sema watu wanachukulia kupoteza hiz mechi mbili ndio kama arsenal haipati kombe,jamani kuna mechi 38,e utafunga zote.hiii safari kwa washabiki wazoefu hawatishiki.kwa uefa mi sina shaka ilia tu kwa hapo baadae offcouse mambo yatakua magumu ingawa tunaeza ku succeed,c unajue moute moute wa man,baka,madrid,chelsea na liver?lakini mi naamini mpira unadunda kombe tunauwezo wa kulibeba
jinsi ya kurekebisha hizo mechi ni kuwafunga wote hao manu na man city wakija emirates.ni lazima kuwa funga hili tuweze kubalance matokeo.
 
yani unamaanisha hatuna uwezo wa kuwafunga man city na man united emirates? duh kweli siku hizi hamtuheshimu ha ha ha.

Guyz mnadefense mbaya kwenye premier league! hata kama mtafanyaje lazima mtafungwa tu....!
 
Guyz mnadefense mbaya kwenye premier league! hata kama mtafanyaje lazima mtafungwa tu....!
defence yetu ni nzuri kabisa ni makosa madogo madogo amabayo yalitu cost sana.sidhani kama defence yetu mbovu zaidi kujirekebisha pia kwenye counter attacks.kwenye set piece nadhani tume improve kidogo lakini ni mapema mno kujuwa zaidi.
 
Andika kwa lugha nyepesi....sijakuelewa!
 
Back
Top Bottom