Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

nadhani tumefikia wakati sasa tuwe tayari kwa lolote summer ijayo kuhusu fabregas manake hata jinsi anavyocheza ni ujumbe tosha.kuhusu ramsey nadhani nimapema mno kumtupia mzigo mzito kama huo labda arshavin atapewa kazi hio maanake jamaa nae mzuri sana kwa pasi.ramsey,wilshere na merida hawa madogo watakuja kuwa balaa in the next few years.

sema ramsey namuona yuko tayari kuanza mbele ya diaby.

...usiwe na shaka mkuu, huenda nawe ulikuwa miongoni mwa wengi waliosema haya
...The summer came and Patrick Vieira went [to Juventus]. This left a massive hole for Cesc to fill. But season 2005/06 started brightly for the Spaniard with a goal in the FA Community Shield,

source; http://www.cescfabregas.info/biography.php

...Nobody is irreplaceable pale Arsenal, labda FLAMINI (kwa muono wangu), naye alituvizia mpaka ARSENE kamuuza GILBERTO ndio naye akatimua vumbi....

BTW, usimsahau pia Samir Nasri aliye deputise idara hiyo pale FAB alivyokuwa majeruhi...
 
Tatizo la Wenger jee amejitayarisha vipi kuziba pengo la Fabregas? Mpaka leo ameshindwa kuziba mapengo ya Gilberto, Hleb na Flamini.
Ingawa Ramsey na Wiltshere wana potential lakini bado hawana kiwango kuithibiti Idara ya viungo kiukamilifu, wanahitaji kama season 2 zaidi.
Tunahitaji Wenger asajili alau viungo wawili wa kazi.

...unajua Ramsey tayari ni Welsh international, kwa maana hiyo tayari ana kiwango. Wilshere ni attacking midfielder, ...kwa formation ya sasa ya Arsenal naona kwamba ataendelea kuchezea Benchi/sub...labda aamue kubadilisha team kwa better prospects.

Umeshtukia Arsene Wenger anawategemea zaidi Diaby na Eboue kuliko hao madogo kwenye hizo positions? Arsene Wenger knows best, in Arsene Wenger we Trust ....🙁 (?)
 
...usiwe na shaka mkuu, huenda nawe ulikuwa miongoni mwa wengi waliosema haya

...Nobody is irreplaceable pale Arsenal, labda FLAMINI (kwa muono wangu), naye alituvizia mpaka ARSENE kamuuza GILBERTO ndio naye akatimua vumbi....

BTW, usimsahau pia Samir Nasri aliye deputise idara hiyo pale FAB alivyokuwa majeruhi...
kweli mkuu wenger mara nyingi anakuwa tayari kashamuandaa mtu.song na denilson wamejitahidi sana lakini wana hitaji kuongeza nguvu zaidi .
 
Arsenal hit by Denilson lay-off


_46458726_denilson226.jpg



Arsenal midfielder Denilson has been ruled out for two months because of a fracture in his back.
 
Arsenal hit by Denilson lay-off


_46458726_denilson226.jpg



Arsenal midfielder Denilson has been ruled out for two months because of a fracture in his back.

...mpwa, siku hizi u hodari kutuletea habari, shukran sana. Bendtner naye kapata ajali ya gari... au sio? Hatakuwemo kwenye listi ya kesho...
 
...mpwa, siku hizi u hodari kutuletea habari, shukran sana. Bendtner naye kapata ajali ya gari... au sio? Hatakuwemo kwenye listi ya kesho...

Hahaha huwa nasoma habari za big five kujiupdate mkuu si unajua wengine sisi soccer ni kama dini? Dogo huwa nampenda sana huyu. Pigo kwenu furaha kwa wapinzani wenu.
 
Bendtner amekuwa lucky kaumia kidogo bega na michubuko kwenye goti.

Si tatizo sana kwani Eduardo yupo.
 
From Indipendent newspaper:
http://www.independent.co.uk/sport/football/premier-league/arsenal-reveal-record-profit-1794430.html

Arsenal reveal record profit

By Jim van Wijk, PA


Monday, 28 September 2009


Arsenal showed an increase in turnover and a record profit after tax of £35.2m from results for the year ending May 31, which were released this morning.


The turnover of the Gunners' parent holding company, which also has substantial property interests at the Highbury Square development, went up to £313.3m from £223m for the same period last year.

Arsenal's move to the Emirates Stadium in 2006 - funded by a long-term loan at a fixed interest rate - continues to pay dividends, with matchday revenue increased to £100.1m from £94.6m which was mainly down to progress to the semi-finals of both the Champions League and FA Cup.

Operating profits, before depreciation and player trading, in the football business were up from £59.6m to £62.7m.

The Highbury Square development, meanwhile, remains robust despite the difficult financial climate and falling house prices, with the completion of 208 private apartments bringing in £88m, while, since the end of the financial year, more units have been sold at the club's former ground.

Arsenal chairman Peter Hill-Wood believes the club are on more than a sound financial footing.

However, the lifelong Gunners fan insisted results on the pitch would also continue to be placed before profit.


"The group's profits have now risen in each of the three years in which Emirates Stadium has been our home. This is excellent news although I should perhaps stress that making and reporting profits is not in itself the primary objective for the directors," Hill-Wood said in his report.

"First and foremost we are supporters of this great football club and, as such, our main goal will always be the achievement of success for Arsenal on the field.

"The group's profitability is important because it is a by-product of running the club as a solvent and successful business, which in turn allows us to maximise the level of investment in the playing staff and in the future development of the club."

Arsenal chief executive Ivan Gazidis added: "Football is a hugely competitive and fast moving business and we must ensure that Arsenal is not just keeping pace but setting the pace, both on and off the field.

"The club is superbly positioned for the future and I am tremendously excited about the opportunities we have ahead of us."
 
Hakuna timu inayoweza kujitegemea kwa sasa kupitia mapato kama hayo majengo na uwanja kama Arsenal.

Revenue ilikuwa £313.3m, pamoja na revenue ya kila mechi inachangia £100.1m na mauzo ya zile private apartments 208 pale Highbury Square yameingiza £88m.

Ni masuala ya kufanya biashara ya uhakika, hapo bado hujajumuisha mauzo ya wachezaji.

Ndio wakti ule George Mpondela alisema Yanga ijitegemee na watu hawakumwelewa.
 
Hakuna timu inayoweza kujitegemea kwa sasa kupitia mapato kama hayo majengo na uwanja kama Arsenal.

Revenue ilikuwa £313.3m, pamoja na revenue ya kila mechi inachangia £100.1m na mauzo ya zile private apartments 208 pale Highbury Square yameingiza £88m.

Ni masuala ya kufanya biashara ya uhakika, hapo bado hujajumuisha mauzo ya wachezaji.

Ndio wakti ule George Mpondela alisema Yanga ijitegemee na watu hawakumwelewa.
Hivi huyu jamaa alienda wapi?
 
Arsenal hit by Denilson lay-off


_46458726_denilson226.jpg



Arsenal midfielder Denilson has been ruled out for two months because of a fracture in his back.
pigo kubwa sana hili manake dogo katulia sana pale kati na song walikuwa wanasaidia mno kwenye defending.sasa hii inamaanisha more games for diaby na jamaa hayuko consistency na yuko weka sana wala hakabi vya kutosha na upoteza mpira kirahisi mno.
 
huu mpira wa leo hii ndio arsenal yenyewe sema tunahitaji goli naona kipa wao kawatoa sana jamaa.tunacheza vizuri sana.
 
Huyu kipa wao hawa olympiakos anawasave! Ila wataachia 2 in the end!
 
duuh mpira huu wa leo noma.hapa ndio presha inapanda manake kushambulia kote hatujapata goli na kipa wao leo kama nyani jamaa.
 
Loh! Half tyme mazee. Hamna ki2. We realy need a goal just after mapumziko
 
Back
Top Bottom