Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safi sana .unaonaje kuhusu mannone tuendelee kumuachia golini au? manake anatusaidia sana i hope wenger ataendelea nae.
naunga mkono maneno yako mkuu.wampime almunia kwenye carling cup.naona leo alikuwa kanuna kwenye bench sijui ksahau jinsi alivyomnyang'anya namba leahman.Manone kwa kweli bado anahitajika sana(hasa katika kipindi hiki ambacho twashindashinda sana) akillingia huyo Almunia tu lazima tuchapwe,Manone aweza mkimbiza Almunia Emirates
Wakulu,
Leo Arsenal haijacheza vizuri kabisa na bado wakawa ndio watanatawala mchezo.
Mzee Wenger aliamua Kirean Gibbs, Emanuel Ebue na Theo Walcott waanze jicho moja likiwa kwenye Champions League na AZ jumanne ijayo.
Otherwise tunawafukuzia leaders Man Utd kwa kasi.
![]()
Robin Van Persie ndio moja ya mategemeo ya Arsenal mwaka huu na tunaomba asiwe majaruhi.
Theo Walcott kaumia lakini hamna noma!
![]()
![]()
Afu Arshavin akatia kitu kuwanyamazisha wakudas!!!
![]()
Wadau, I like this kid Diaby!
![]()
Tutawapata tu Man U,hasa ukizingatia tuna mechi moja mkononi na Man U Jumapili ijayo wanakipiga na Liver,adui muombee njaa
October 20
37' AZ Alkmaar 0 - 1 Arsenal