Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hongereni Arsenal..........vijana wamecheza vizuri sana as usual.........momentum kwa kwenda mbele
 
safi sana .unaonaje kuhusu mannone tuendelee kumuachia golini au? manake anatusaidia sana i hope wenger ataendelea nae.

Manone kwa kweli bado anahitajika sana(hasa katika kipindi hiki ambacho twashindashinda sana) akillingia huyo Almunia tu lazima tuchapwe,Manone aweza mkimbiza Almunia Emirates
 
Manone kwa kweli bado anahitajika sana(hasa katika kipindi hiki ambacho twashindashinda sana) akillingia huyo Almunia tu lazima tuchapwe,Manone aweza mkimbiza Almunia Emirates
naunga mkono maneno yako mkuu.wampime almunia kwenye carling cup.naona leo alikuwa kanuna kwenye bench sijui ksahau jinsi alivyomnyang'anya namba leahman.
 
MATCH FACTS
Man of the match - Abou Diaby:
There were a few candidates for the Gunners but Diaby was central to many of the home side's best moments and deservedly got on the scoresheet.
Goal of the match: Andrey Arshavin's effort was Arsenal at their best. An end-to-end move started by keeper Vito Mannone and involving Cesc Fabregas saw the Russian apply a sublime finish.
Save of the match: Joe Hart produced an outstanding close-range stop to deny Diaby as he threatened to add a fourth for the Gunners.
Talking point: Arsenal were awarded an indirect free-kick inside the Birmingham box when Seb Larsson was penalised for a back pass after intercepting a through ball. Robin van Persie hammered the set-piece against the bar but why the referee thought it was deliberate was beyond most.
 
Wakulu,

Leo Arsenal haijacheza vizuri kabisa na bado wakawa ndio watanatawala mchezo.

Mzee Wenger aliamua Kirean Gibbs, Emanuel Ebue na Theo Walcott waanze jicho moja likiwa kwenye Champions League na AZ jumanne ijayo.

Otherwise tunawafukuzia leaders Man Utd kwa kasi.

vanpersieget_1504249c.jpg


Robin Van Persie ndio moja ya mategemeo ya Arsenal mwaka huu na tunaomba asiwe majaruhi. Hapa akiandika bao la pili baada ya kumegewa pande na Alex Song Bilong katika dakika ya 16.


article-1221048-06DC0163000005DC-799_468x322.jpg


Abu Diaby akipongezwa na Robin Van Persie baada ya kukung'uta cha pili katika dakika ya 18.
 
Wakulu,

Leo Arsenal haijacheza vizuri kabisa na bado wakawa ndio watanatawala mchezo.

Mzee Wenger aliamua Kirean Gibbs, Emanuel Ebue na Theo Walcott waanze jicho moja likiwa kwenye Champions League na AZ jumanne ijayo.

Otherwise tunawafukuzia leaders Man Utd kwa kasi.

vanpersieget_1504249c.jpg


Robin Van Persie ndio moja ya mategemeo ya Arsenal mwaka huu na tunaomba asiwe majaruhi.

Tutawapata tu Man U,hasa ukizingatia tuna mechi moja mkononi na Man U Jumapili ijayo wanakipiga na Liver,adui muombee njaa
 
Theo Walcott kaumia lakini hamna noma!

Theo-Walcott-Arsenal-Injury-Premier-League-PA_2373717.jpg



Theo-Walcott-Andrey-Arshavin-Arsenal-Premier-_2373720.jpg



Afu Arshavin akatia kitu kuwanyamazisha wakudas!!!

Andrey-Arshavin-Arsenal-Premier-League3_2373798.jpg

 
Wadau, I like this kid Diaby!


Abou-Diaby-Arsenal-Premier-League-2_2373703.jpg

Mkuu,

Arsenal wana bahati kwamba wana safu nzuri ya wachezaji wa kiungo na Samir Nasri yupo njiani ataanza game yoyote ijayo.

Abu Diaby leo amecheza vizuri sana. Yeye ndie alikuwa akipata mipira mingi katikati na kutoa pasi za uhakika, lets hope kwamba ataendelea kuwa hivi katika mechi zijazo.
 
jamani ushindi mtamu...check mapicha hapo juu da...manu wakiingia huku...Ab-Titchaz big up sana
 
Walcott blow for Gunners

Mon, 19 Oct 22:27:13 2009


Arsenal will be without Theo Walcott for up to a month because of a medial knee ligament injury.
Walcott, making his first start of the season, had to be taken off during the first half of Saturday's 3-1 win over Birmingham following a challenge from Liam Ridgewell.
"The news is not good. We are without Theo Walcott for longer than expected," said Arsenal boss Arsene Wenger ahead of Tuesday's Champions League meeting with AZ Alkmaar.
"We thought it would be just 48 hours but it is a medial knee ligament, which is what I feared after the game. He will be out for three to four weeks."
Czech midfielder Tomas Rosicky (knee) is also unavailable for the AZ match, but full-back Gael Clichy has shaken off an ankle problem which kept him out of the Barclays Premier League win over Birmingham.
Samir Nasri, who broke his leg during pre-season, and goalkeeper Lukasz Fabianski (knee) will continue their rehabilitation with the reserves on Tuesday night, but strikers Nicklas Bendtner (groin) and Eduardo (groin), midfielder Denilson (back) and centre-half Johan Djourou (knee) remain sidelined.

Source:Eurosport
 
naona wenger anaendelea mannone golini kama kawaida.list la leo hili hapa

mannone
sagna gallas varmelen clichy
song fabregas diaby
eboue rvp arshavin.
kila la kheri the gunners leo.
 
Wenger aondoa hofu kwa Walcott

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amepinga mawazo kuumia kwa Theo Walcott ni suala linaloelekea kuzoeleka baada ya kufahamika atakuwa nje kwa wiki nne.
Walcott aliyekosa michezo ya awali msimu huu kutokana na maumivu ya mgongo, katika mchezo wa Jumamosi ilibidi atolewe nje baada ya kucheza kwa dakika 33 kutokana na kuumia goti.
Walcott pia katika msimu uliopita alikuwa nje kutokana na kuumia, lakini hata hivyo Wenger amepuuza mashaka hayo.
Wenger amesema"Yeye bado ni kijana mdogo na katika baadhi ya nyakati kwa umri wake lazima apitie kipindi kama hicho".
Walcott alirejea kuchezea klabu yake msimu huu akiwa mchezaji wa akiba Arsenal ilipocheza na Blackburn tarehe 4 Octoba na akaichezea England chini ya miaka 21 walipoilaza Macedonia mabao 6-3.


Source:www.bbc.co.uk/swahili
 
Back
Top Bottom