Hakuna Bora, kwann hakuchora mumewe au watoto wake.Ni bolo young limemkosha mpaka akashikwa na wazimi huo.Ni sawa. Maana ni kawaida watu kuchora tatoo watu amaa wanyama ama hata masanamu kwenye miili yao ama nyumba zao.
Bora huyo kachora tatoo, kuna wengine unakuta amechonga sanamu la mti, miti hii tunayoiona na akaiunganisha kwa misumari halafu akaanza kuiabudu na kutegemea hilo lisanamu limuombee ama limuepushe na balaa za Dunia, sanamu la miti.
Dini zinafanya watu wamakua wapumbavu sana.
Mimi natafuta mwanamke wa kunipa limbwata japo sina pesa.Demi ntakuroga soonest🤣
Kuna mwingine alichukua fedha ya mkopo akaenda kumbariki mtumishi mahali fulani na ndoa ikaota mbawaMke & mume walikuwa ni walimu wa shule moja hapa mjini. Baada ya kustaafu mume mafao yake alijenga nyumba na kununua mifugo anayo hadi sasa.
Mwanamke yeye alikuwa ni mtu wa maombi sana na akajikuta ameingia NGURUMO, alipopata mafao yake akaenda kupanda mbegu yote kwa huyu nabii tapeli.
Matokeo yake mume alimfukuza kwenye nyumba yake na hadi sasa huyu mama amechanganyikiwa kabisa.
Anampenda nabiii mkuu kuliko Mme wake, Mme wake ana haja ya kuwa Naye tena? Si aende Kwa mtafunajiTattoo ina ujumbe wake. Kuchora picha ya nabii maana yake nini?
Ni sawa. Maana ni kawaida watu kuchora tatoo watu amaa wanyama ama hata masanamu kwenye miili yao ama nyumba zao.
Bora huyo kachora tatoo, kuna wengine unakuta amechonga sanamu la mti, miti hii tunayoiona na akaiunganisha kwa misumari halafu akaanza kuiabudu na kutegemea hilo lisanamu limuombee ama limuepushe na balaa za Dunia, sanamu la miti.
Dini zinafanya watu wamakua wapumbavu sana.
Hawa ndio wanaojua kula na walamba asali na sio zumarid kosa lake hakujifungamanisha na walamba asali, angekuwa anaisapoti ccm asingekuwa ndani.
Ameyataka mwenyewe.Kuna mwingine alichukua fedha ya mkopo akaenda kumbariki mtumishi mahali fulani na ndoa ikaota mbawa
Kapewa 1 Milion ya Nauli, na 5 Millions ya Mtaji.Ataitwa kwenda kupewa gari
Anaitwa Daudi Kasambali anacheza na watu waliostaafu , ukipata mafao kaa nae mbali
Hawa manabii hawa...na mazingaombwe yaoAnampenda nabiii mkuu kuliko Mme wake, Mme wake ana haja ya kuwa Naye tena? Si aende Kwa mtafunaji
Hakuna kilicho bora, ukristu gani wa kuchokae mwili wako?Ni sawa. Maana ni kawaida watu kuchora tatoo watu amaa wanyama ama hata masanamu kwenye miili yao ama nyumba zao.
Bora huyo kachora tatoo, kuna wengine unakuta amechonga sanamu la mti, miti hii tunayoiona na akaiunganisha kwa misumari halafu akaanza kuiabudu na kutegemea hilo lisanamu limuombee ama limuepushe na balaa za Dunia, sanamu la miti.
Dini zinafanya watu wamakua wapumbavu sana.
mbona wengi tu ujiita mungu,yule ni jeuri kakutana na majeuri wenzake,atembeze pesa amalize mchezo akijifanya nunda atasota Sana jela,mbongo kukuweka ndani miaka hana hasara sheria zinamruhusu sisi bado tupo kwenye primitives stage thus kuwekwa ndani miaka usipojiongeza kesi iende haraka haraka Ili upate hukumu mapema ulipe faini au wafute kesi utasota Sana mahabusu.Bongo kesi zote ni biashara za watu thus uwakuti Wahindi au matajiri jela ujiongeza mapema.Ila Zumaridi wamemkomalia Sana, nadhani kuna watu aliwaudhi Sana kwa kujiita mungu.
Wewe je, unaruhusiwa kuzini? Kama sio, Umeshaviziwa ili ukamatwe?Kumbuka yule ni kiongozi wa dini. Hatakiwi kuwa mzinzi.
mbona wengi tu ujiita mungu,yule ni jeuri kakutana na majeuri wenzake,atembeze pesa amalize mchezo akijifanya nunda atasota Sana jela,mbongo kukuweka ndani miaka hana hasara sheria zinamruhusu sisi bado tupo kwenye primitives stage thus kuwekwa ndani miaka usipojiongeza kesi iende haraka haraka Ili upate hukumu mapema ulipe faini au wafute kesi utasota Sana mahabusu.Bongo kesi zote ni biashara za watu thus uwakuti Wahindi au matajiri jela ujiongeza mapema.
We uoni yule aliyewatoa watu Kafara moshi akizidi kupeta angekuwa hana connection au kujiongeza angekuwa ndani hadi kesho. Zumarid anafanya huduma bila kujiongeza wapi pa kushika.
Wewe je, unaruhusiwa kuzini? Kama sio, Umeshaviziwa ili ukamatwe?
Akimalizana na police na kesi itafutwa. Police sio wa kufanya nao bifu utapotea hawa ni ndugu zetu ukijua kuishi nao vizuri ni watu wema kabisa.Zumaridi aliingia kichwa kichwa kupambana na polisi. Pia kutokuwa na connection kwenye chama na serikali.
Ni ukristo gani wewe uchonge kinyago cha msalaba na bikra maria halafu ukiabudu, kinyago ukichonge mwenyewe halafu ukiabudu, hiyo ni akili ama mavi?Hakuna kilicho bora, ukristu gani wa kuchokae mwili wako?