dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Ndio hyu mwanamke mjinga nn au Ni story nyingine hyoMke & mume walikuwa ni walimu wa shule moja hapa mjini. Baada ya kustaafu mume mafao yake alijenga nyumba na kununua mifugo anayo hadi sasa.
Mwanamke yeye alikuwa ni mtu wa maombi sana na akajikuta ameingia NGURUMO, alipopata mafao yake akaenda kupanda mbegu yote kwa huyu nabii tapeli.
Matokeo yake mume alimfukuza kwenye nyumba yake na hadi sasa huyu mama amechanganyikiwa kabisa.
Alfu ajabu Kuna wahumini walipigamakofi kbsa dhid ya mwanamke mjinga aliyeongeambele ya kanisa hiloHakuna Bora, kwann hakuchora mumewe au watoto wake.Ni bolo young limemkosha mpaka akashikwa na wazimi huo.
Wanawake wakt mwingine mnajizima dataHuu ni upumbavu
Au anatakatisha pesa.Je huyu nabii Mkuu Geo Davie nini chanzo cha hiyo Fedha anayogawa kama njugu? Kumbuka kanisa lake halina wafuasi wengi na liko based Arusha tu, pili Wachungaji wa makanisa mengine wao ndiyo wanakusanya sadaka kwa waumini ila Nabii Mkuu yeye ndiye huwapa waumini
Sijataja dini ya mtu hiyo umesema wewe mi nimesema wanawake hayo mengine yakwakoHasa wanawake wa Kiislamu
Kasome mambo ya walawi 19:28...Biblia inasemaje kuhusu uchoraji wa tattoo?
Msaada please 🥺
Hao kwani wanaifuata Hy biblia basi washakatazwa Hadi Kula nguruwe lakini wanaingia na nyama mpk kanisani Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8). Lakini WanakulaBiblia inasemaje kuhusu uchoraji wa tattoo?
Msaada please [emoji3064]
Mkuu hujui huyo anapanga kiwango cha sadaka?Je huyu nabii Mkuu Geo Davie nini chanzo cha hiyo Fedha anayogawa kama njugu? Kumbuka kanisa lake halina wafuasi wengi na liko based Arusha tu, pili Wachungaji wa makanisa mengine wao ndiyo wanakusanya sadaka kwa waumini ila Nabii Mkuu yeye ndiye huwapa waumini
IshatakaswaHao kwani wanaifuata Hy biblia basi washakatazwa Hadi Kula nguruwe lakini wanaingia na nyama mpk kanisani Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8). Lakini Wanakula
Umeandika kwa hisia kali sana mkuu. Pole kwa hiloNi sawa. Maana ni kawaida watu kuchora tatoo watu amaa wanyama ama hata masanamu kwenye miili yao ama nyumba zao.
Bora huyo kachora tatoo, kuna wengine unakuta amechonga sanamu la mti, miti hii tunayoiona na akaiunganisha kwa misumari halafu akaanza kuiabudu na kutegemea hilo lisanamu limuombee ama limuepushe na balaa za Dunia, sanamu la miti.
Dini zinafanya watu wamakua wapumbavu sana.
Kwa hiyo akina Mkali wenu alimvulia Nini?Bila kumvulia bikini, hata bajaji hapati...
Ni kama jiwe alivyokuwa akitafuna mijimama hapo CCM, Hadi wengine anawasifia hadharaniAkiwatafuna kuna ubaya gani?
Mapadri wanatafuna watoto wadogo bora yeye anatafuna watu wazima.
Mtu mzima hajabakwa ameamua mwenyewe kuvua chupi atafunwe kuna ubaya gani?
🤣🤣Jamaa amewatafuna waumini wake sana, wengine wamekuwa wakitishiwa wakitoa Siri za majoka makubwa
Kwisha huyooMke & mume walikuwa ni walimu wa shule moja hapa mjini. Baada ya kustaafu mume mafao yake alijenga nyumba na kununua mifugo anayo hadi sasa.
Mwanamke yeye alikuwa ni mtu wa maombi sana na akajikuta ameingia NGURUMO, alipopata mafao yake akaenda kupanda mbegu yote kwa huyu nabii tapeli.
Matokeo yake mume alimfukuza kwenye nyumba yake na hadi sasa huyu mama amechanganyikiwa kabisa.
Kama ulivyomvulia Mudi.....Kwa hiyo akina Mkali wenu alimvulia Nini?
Kwani Quran inakataza kula Nguruwe mkuu? Naomba kifungu toka quran inayokataza kula nguruwe.Hao kwani wanaifuata Hy biblia basi washakatazwa Hadi Kula nguruwe lakini wanaingia na nyama mpk kanisani Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8). Lakini Wanakula