Kwa nini haya hayakufanyika kabla ya kuhama?Hayo ni matatizo yake binafsi, msiyaunganishe na siasa. Katumuliwa alikopanga sababu halipi kodi ya pango, waumini wamemkimbia sababu anawakopa sana pesa.
Ndicho anachostahili.
Bila shaka yalikuwepo hata kabla, kahama kapata publicity. Kwa sasa Jamaa ni al maarufu, kila mtu anataka auze habari.Kwa nini haya hayakufanyika kabla ya kuhama?
Laana hiyo.Wako wapi watu wenu, (hawajafika mkuu), Wapumbavu kabisa
Tapeli kaenda kwa matapeli weñzakeWamkimbie. Wasimkimbie yote tisa kumi keshajitambua huyo
watoto wa siku hizi wanafanya tushindwe kuzuia ghadhabu zetu mjomba. Nashukuru vililala mapema na sasa hivi bado havijaamka.Mjomba na wewe mbona unatukàna?
Jinsi hali ilivyo bana kiuchumi akili ni kuchukua kadi yako ya Chadema unaenda kwa Polepole unamwambia nataka kurudisha hii kadi kwa bosi wako andaa drama tuu.Wamethibitisha utapeli wake,
Sidhani....Kule unadanganywa na advance nyingine tutakukabidhi ukisharudisha card mkimaliza tu kila ukipiga namba ya yule jamaa mwenye domo hapokei mwisho unachezea ban yakutosha
Mbona yote hayo yatokee baada ya tukio la kuhama chama?Hayo ni matatizo yake binafsi, msiyaunganishe na siasa. Katumuliwa alikopanga sababu halipi kodi ya pango, waumini wamemkimbia sababu anawakopa sana pesa.
Ndicho anachostahili.
mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe. Kesho mtasikia hadi aina ya mlo anaokuala. mapaparazi wanammulika kila konaMbona yote hayo yatokee baada ya tukio la kuhama chama?
Ukipenda ndizi,penda na mgomba wake.Sasa wewe unafurahia diwani wenu kuwa na madeni, maana hayo madeni kayapatia hukohuko Chadema!!
Mfano hawajamlipa na yeye ameshatangaza kuama, anaenda wapi kudai, kwa aina gani ya biashara !! Hizi biashara hizi... Mungu asaidie...Sasa hizo pesa alizohongwa si alipe hayo madeni?