Tetesi: Arusha: Aliyehama Kutoka CHADEMA na Kwenda CCM Afukuzwa kwenye Nyumba na Kanisani Waumini Wamkimbia

Tetesi: Arusha: Aliyehama Kutoka CHADEMA na Kwenda CCM Afukuzwa kwenye Nyumba na Kanisani Waumini Wamkimbia

Hayo ni matatizo yake binafsi, msiyaunganishe na siasa. Katumuliwa alikopanga sababu halipi kodi ya pango, waumini wamemkimbia sababu anawakopa sana pesa.
Ndicho anachostahili.
Kwa nini haya hayakufanyika kabla ya kuhama?
 
Hii habari vijana wa chadema watashangilia, na kuona ni sawa, maisha ya siasa lazima yawe na mipaka, kuwa na Itikadi tofauti sio dhambi, ni kufikiri tofauti.. Leo huyu kahamia CCM, kesho wa CCM atahamia Chadema, je na yeye atengwe.. Ninacho kiona Tanzania vyama vingi wengi wetu hatujaelewa, tuna maana tofauti juu ya demokrasia
 
Wamethibitisha utapeli wake,
Jinsi hali ilivyo bana kiuchumi akili ni kuchukua kadi yako ya Chadema unaenda kwa Polepole unamwambia nataka kurudisha hii kadi kwa bosi wako andaa drama tuu.
Unakula mshiko kisha unalala mbele kama wale wa Arusha waliokula kona.
Huyo jamaa yeye kajisahau kulala mbele sasa ataipata!
 
MTU AKIHAMIA CCM KAONGWA NA AKIAMIAMIA UPINZANI MBONA HAMSEMI ACHEN PROGANDA WEKEN STORI IBALANSI ,MFANO MAWAZIRI WAKUU WAMEAMIA HUKO ,MBONA WATANZANIA TUMEELEWA NI HAKI YAO KIKATIBA LAKIN BAADHI YENU HAMLIWEKI HILI SWALA WAZI TUWE WA WAZI SISI SOTE NI WA MOJA
 
Kule unadanganywa na advance nyingine tutakukabidhi ukisharudisha card mkimaliza tu kila ukipiga namba ya yule jamaa mwenye domo hapokei mwisho unachezea ban yakutosha
Sidhani....
Hiyo advance ilishindwaje kumsaidia japo kidogo?
Propaganda tu.
 
Hayo ni matatizo yake binafsi, msiyaunganishe na siasa. Katumuliwa alikopanga sababu halipi kodi ya pango, waumini wamemkimbia sababu anawakopa sana pesa.
Ndicho anachostahili.
Mbona yote hayo yatokee baada ya tukio la kuhama chama?
 
Sasa hizo pesa alizohongwa si alipe hayo madeni?
Mfano hawajamlipa na yeye ameshatangaza kuama, anaenda wapi kudai, kwa aina gani ya biashara !! Hizi biashara hizi... Mungu asaidie...
 
Back
Top Bottom