King_mwanamalundi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2019
- 373
- 558
"inawezekana pia amejidhuru mwenyewe kutokana na labda msongo wa mawazo” amesema Shana.
kamanda anapiga ramli kama mganga wa kienyeji
kamanda anapiga ramli kama mganga wa kienyeji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwajibu hilo la Kamanda ujue hakuna uchunguzi utakaofanyika hapo, zuga na gheresha mpaka watu wasahau. Ndio basi tena. Poleni sana kwa waliofikwa na Msiba."inawezekana pia amejidhuru mwenyewe kutokana na labda msongo wa mawazo” amesema Shana.
kamanda anapiga ramli kama mganga wa kienyeji
Huo undugu kwa Lissu mliuweka wapi?
Tunalazimishwa kuelekea tusipohitaji kufika. Inna lillah wa inna ilahi rajiunAliyekuwa Mgombea katika nafasi ya Ujumbe wa Serikali ya Mtaa ya eneo la Mnara wa Voda, kupitia CHADEMA kabla ya Chama hicho hakijajitoa kushiriki, Sirili Homary amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake huku akidaiwa kukatwa na kitu chenye ncha kali shingoni
Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Jonathan Shana, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kifo hicho kina muda wa siku tatu tangu kimetokea.
Amesema Marehemu Homary amekutwa ndani ya nyumbani kwake katika eneo la Mnara wa Voda, huku funguo ikiwa ndani akiwa amefariki Dunia.
“Bado tunachunguza na tutatoa taarifa maana mtu amekutwa ndani na funguo ikiwa ndani inawezekana pia amejidhuru mwenyewe kutokana na labda msongo wa mawazo” amesema Shana.
Aidha amesema wako wanasiasa wanaleta uchochezi juu la kifo hicho na ameahidi wakiendelea atawachukulia hatua kwa mujibu wa sheria.
“Naomba watupe muda vyombo rasmi vya uchunguzi vifanye kazi yake, jambo kama hilo lina taratibu linapotokea tunachunguza kwa kuhusisha vyombo vinavyoaminiwa na wananchi na tutatoa taarifa kupitia Vyombo vya Habari”amesema Shana.
Naye Mbunge wa Arusha, Godibless Lema akihojiwa na Nipashe, amesema jambo hilo ni la kikatili na la kuhuzunisha na kwamba amezungumza na Kamanda wa Polisi mkoani humo ambaye amemuambia watu kadhaa wanashikiliwa kuhojiwa juu ya tukio hilo.
Amesema CHADEMA mkoani Arusha wameunda Kamati Maalum kufuatilia Mauaji hayo maana yana utata kwani Homary ni Kada Maarufu na mwaminifu wa Chama hicho.
“Sio kawaida kwa polisi kukaa kimya hapa kuna utata, RPC alipaswa aite kikao na wanahabari na waulize majibu na ajibu sasa ukimya huu unatushangaza maana jamii itapata picha gani?”amehoji Lema.
Litachunguzaje wakati marehemu hayupo kufungua kesi na kuhojiwa???Poleni sana kwa wafiwa
Jeshi la polisi lichunguze hili tukio
Watanzania tunapendana
Nyerere alianza siasa akiwa kijana mdogo kabisa na akafanya makubwa. Usiwakatishe tamaa vijana, cha msingi siasa ya nchi hii irudi kwenye misingi ya ustaarabu kuliko hii ya kuchinjana.vijana wadogo mnatafuta umaarufu kupitia siasa kama vile hamjui kua siasa ni.mchezo mchafu! hivi hakuna issue nyingine za kufanya??
YaaniUnaua mwenzio kama wewe hautakufa?
Hongera Mbowe na Chadema na vyama vyote vya upinzani CCM walitaka tuchinjane kama ivi mmetuepusha kwa mengi.
Shirikisha ubongo kabla ya kuandikaNchi imefika patamu sana !
Aliyemshambulia mi simfahamu
Mkuu nje ya Siasa sisi ni Ndugu
Kwani wakina Salim a. Salim, kikwete etc walingia kwenye siasa wakiwa wazeevijana wadogo mnatafuta umaarufu kupitia siasa kama vile hamjui kua siasa ni.mchezo mchafu! hivi hakuna issue nyingine za kufanya??
ACP aache visingizio na vitisho, kuwepo funguo ndani si hoja ya msingi. Yeye mwenyewe anadhani inawezekana amejidhuru mwenyewe labda kutokana na msongo wa mawazo. Sasa ikitokea mtu mwingine akadhani kuna walio mdhuru kwa sababu za kisiasa ama nyinginezo, uchochezi unatokea wapi hapo?Aliyekuwa Mgombea katika nafasi ya Ujumbe wa Serikali ya Mtaa ya eneo la Mnara wa Voda, kupitia CHADEMA kabla ya Chama hicho hakijajitoa kushiriki, Sirili Homary amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake huku akidaiwa kukatwa na kitu chenye ncha kali shingoni