Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Polepole anakuangalia na kukusonya tu, Bashiru ndio anakushangaa kabisa, Kalemani anapigwa bumbuwazi.Kwanini nyie hamkumfukuza badala yake mliendelea kumkumbatia wakati mnajua ni mamluki?
Chadema mnaishi kwa stress sana. Hamia tu ccm mkuu huku raha tupu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mliobaki wenyewe mnaishia kubwata kwa Maria space tu"Mapinduzi kazi ngumu wengi wanayakimbia tuliobaki tumekamia".
Kamfuata mkewe.Mwanachama wa Chadema, Bananga arudi CCM
Alikuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA 2015 hadi 2020.
Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Ally Bananga leo Jumapili ametangaza kurejea tena CCM mbele ya Rais Samia Hassan “nawashukuruni vijana wenzangu wa CCM ambao niliwasubiri mje Chadema lakini hamkuja na leo nimerudi nyumbani.”
Nawaomba wana CCM wenzangu, mniruhusu niwe miongoni mwao ili tusaidiane na mama yetu katika kueleza mazuri yanayofanyika kuelezea mazuri yanayofanyika na mama nchi inatabasamu, inapumua- Ally Bananga, aliyekuwa Chadema sasa amerejea CCM
Pia, soma;
Ally Bananga: Nina kiapo na mke wangu, nitamlinda kwa gharama ya damu yangu
Diwani wa CHADEMA, Ally Bananga amwambia Godbless Lema aache ndoto na kumpangia marafiki!
Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA, Ally Bananga amejitokeza kwenye chombo cha habari na kudai Godbless Lema na kundi lake waache mambo ya kijinga ya kumpangia marafiki na kumtabiria kuwa anataka kuhamia CCM. ‘’Lema na kundi lake wanataka nisiwe na marafiki...www.jamiiforums.com
Wote hao uliowataja wanakula raha ccmPolepole anakuangalia na kukusonya tu, Bashiru ndio anakushangaa kabisa, Kalemani anapigwa bumbuwazi.
So nae anatafuta U-DCIlikua lazima arudi tu maana swahiba wake mkubwa, Msando sahizi ni DC
Ni kweli Shonga ni mbaya ukiindekeza. Na Muheshimiwa ameahidi kumtumia. Hata hivyo anao uhuru kwa kufuata atakayo mradi havunji sheria. Wafuasi mna la kujifunza.Jamani sitaki tena kumwamini mwanasiasa yeyote! Kila mtu aamue ki-vyake! Litakuwa linanyemelea uteyuzi! Liwaache akina johnthebaptist wanang'aa sharubu tu!
Inamaana umemuona bwashee pekee kua ndo ang'aa sharubu 🤣🤣🤣🤣Jamani sitaki tena kumwamini mwanasiasa yeyote! Kila mtu aamue ki-vyake! Litakuwa linanyemelea uteyuzi! Liwaache akina johnthebaptist wanang'aa sharubu tu!
Mke wa John Mrema pia ni Covid-19, una lipi la kusema katika hilo?Halafu kuna mtu kaanzisha uzi akiwashauri chadema wawasamehe covid19. Haya ndiyo majibu yake kuwa wale covid19 (akiwepo mke wa bananga) wakokwa kivuli cha ccm
Mke wa John Mrema naye yupo Covid-19, au huyo hagusiki ndani ya chama?Mke wake alisha saliti chama, hivyo ilikua ngumu sana yeye kubaki chadema..
Sema afuata mke ccmMwanachama wa Chadema, Bananga arudi CCM
Alikuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA 2015 hadi 2020.
Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Ally Bananga leo Jumapili ametangaza kurejea tena CCM mbele ya Rais Samia Hassan “nawashukuruni vijana wenzangu wa CCM ambao niliwasubiri mje Chadema lakini hamkuja na leo nimerudi nyumbani.”
Nawaomba wana CCM wenzangu, mniruhusu niwe miongoni mwao ili tusaidiane na mama yetu katika kueleza mazuri yanayofanyika kuelezea mazuri yanayofanyika na mama nchi inatabasamu, inapumua- Ally Bananga, aliyekuwa Chadema sasa amerejea CCM
Pia, soma;
Ally Bananga: Nina kiapo na mke wangu, nitamlinda kwa gharama ya damu yangu
Diwani wa CHADEMA, Ally Bananga amwambia Godbless Lema aache ndoto na kumpangia marafiki!
Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA, Ally Bananga amejitokeza kwenye chombo cha habari na kudai Godbless Lema na kundi lake waache mambo ya kijinga ya kumpangia marafiki na kumtabiria kuwa anataka kuhamia CCM. ‘’Lema na kundi lake wanataka nisiwe na marafiki...www.jamiiforums.com
Mliobaki wenyewe mnaishia kubwata kwa Maria space tu
Amzidi Tambwe akaishia.Jamaa Fundi sana jukwaani ana jua sana kucheza na ulimi