Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kumbe jpm ndiyo anaua hawa watu 🤔
Aisee kumbe jpm ndiyo anaua hawa watu 🤔
Dah!... inasikitisha sana na kuumiza pia....Mzee anapatia hali ngumu sana....Kapoteza watoto wawili aliyowalea kwa uchungu jamani 🤕🤕🤕mmoja kafa
Mwingine anaenda vaa overall
Kama si miongoni mwa wanaaoamini maandiko ni haki yako kusema hivyo kwa maana upo gizaniHata sio zama za mwisho huko Marekani wanauana sana mbona na dunia haijafika mwisho.
Kutoka kwa wasiojulikana mpaka wanaojulikana sasaDa!Kuna kitu hakiko sawa hapa nchini
Tena yaandikwe wauajiAisee, serikali ingezeni magereza
Hilo neno la dunia imefika mwisho limeanza kutumika kwa zaidi ya miaka 1000 iliopita. Sidhani kama kuna mabaya ambayo yamefanyika kuliko kipindi cha the dark age, ambapo maendeleo ya dunia pia yalisimama kwa muda mrefu.Kama si miongoni mwa wanaaoamini maandiko ni haki yako kusema hivyo kwa maana upo gizani
Stori kama ya akina kaini😅Kijana James mwenye umri wa miaka 16 anatuhumiwa kumuua kaka yake anaitwa Zakayo huku baba mzazi akikiri kushindwa kuwaamua ndugu hao wawili waliokuwa wakigombana kisa mifugo.
Mimi naitwa Paulo Sindio, ni baba mzazi wa watoto hao, walianza kugombana mbele yangu kisa kikiwa ni uswagaji wa mifugo kurudi polini, wote ni Watoto wang una wa mama mmoja.
Akielezea tukio hilo, Paulo amesema: “Walikorofishana baada ya mkubwa kumwambia mdogo kuwa anatakiwa kwenda kuswaga mifugo kauli ambayo ilipingwa na James na baada ya muda wakaanza kupigana.
“Walipigana, mimi nikanyanyuka kwa ajili ya kwenda kuwaamua, kumbe mwenzake tayari alikuwa ameshamchoma kisu kwenye moyo, tulivyompeleka hospitali ikakutwa ameshafariki.
“Sina la kusema, wazee wa ukoo wapo wataamua wenyewe, sina la kufanya, na sijui alipo, kama ameenda kujiua au la sijui alipo. Polisi tayari wana taarifa na wanalifuatilia.”
Source: Globaltv
Ndio ! Hakuna anayejua siku wa saa lakini maandiko yametuonesha dalili ikiwemo hii ya mauwaji na vifo vya ghaflaHilo neno la dunia imefika mwisho limeanza kutumika kwa zaidi ya miaka 1000 iliopita. Sidhani kama kuna mabaya ambayo yamefanyika kuliko kipindi cha the dark age, ambapo maendeleo ya dunia pia yalisimama kwa muda mrefu.
Kila zama watu husema mwisho umekaribia lakini siku zasonga tu.
Hakuna ajuaye muda wala saa ya kurejea mwana wa adamu.
Haya madogo madogo tu. Huko Columbia na Mexico watu wanachinjana kila soku wanaondolewa vochwa wanatundikwa kwenye madaraja na wauza madawa tangu miaka ya 90 na bado dunia haijaisha 🤣🤣.Ndio ! Hakuna anayejua siku wa saa lakini maandiko yametuonesha dalili ikiwemo hii ya mauwaji na vifo vya ghafla
Kijana James mwenye umri wa miaka 16 anatuhumiwa kumuua kaka yake anaitwa Zakayo huku baba mzazi akikiri kushindwa kuwaamua ndugu hao wawili waliokuwa wakigombana kisa mifugo.
Mimi naitwa Paulo Sindio, ni baba mzazi wa watoto hao, walianza kugombana mbele yangu kisa kikiwa ni uswagaji wa mifugo kurudi polini, wote ni Watoto wang una wa mama mmoja.
Akielezea tukio hilo, Paulo amesema: “Walikorofishana baada ya mkubwa kumwambia mdogo kuwa anatakiwa kwenda kuswaga mifugo kauli ambayo ilipingwa na James na baada ya muda wakaanza kupigana.
“Walipigana, mimi nikanyanyuka kwa ajili ya kwenda kuwaamua, kumbe mwenzake tayari alikuwa ameshamchoma kisu kwenye moyo, tulivyompeleka hospitali ikakutwa ameshafariki.
“Sina la kusema, wazee wa ukoo wapo wataamua wenyewe, sina la kufanya, na sijui alipo, kama ameenda kujiua au la sijui alipo. Polisi tayari wana taarifa na wanalifuatilia.”
Source: Globaltv
Unapoambiwa zama za mwisho dont think of 10 - 20 years to come. Kwa sasa unaona jambo la uzinzi na wanawake kutembea uchi lilivyo? Bas jua ni bado sana itafika wakati uzinzi utakua unafanyika barabarani na wanawake watatembea uchi kabisa na hapo ndo hasira ya mungu itashukaHaya madogo madogo tu. Huko Columbia na Mexico watu wanachinjana kila soku wanaondolewa vochwa wanatundikwa kwenye madaraja na wauza madawa tangu miaka ya 90 na bado dunia haijaisha [emoji1787][emoji1787].
Na Mwanza na Mbeya?Mkoa una laana huo
Pamoja na Kilimanjaro