Arusha, amuua kaka yake kwa kisu baba yake akishuhudia

Kapoteza watoto wawili aliyowalea kwa uchungu jamani 🤕🤕🤕mmoja kafa

Mwingine anaenda vaa overall
Dah!... inasikitisha sana na kuumiza pia....Mzee anapatia hali ngumu sana....

Mungu aitie nguvu familia yake
 
Kama si miongoni mwa wanaaoamini maandiko ni haki yako kusema hivyo kwa maana upo gizani
Hilo neno la dunia imefika mwisho limeanza kutumika kwa zaidi ya miaka 1000 iliopita. Sidhani kama kuna mabaya ambayo yamefanyika kuliko kipindi cha the dark age, ambapo maendeleo ya dunia pia yalisimama kwa muda mrefu.
Kila zama watu husema mwisho umekaribia lakini siku zasonga tu.
Hakuna ajuaye muda wala saa ya kurejea mwana wa adamu.
 
Stori kama ya akina kaini😅
 
Ndio ! Hakuna anayejua siku wa saa lakini maandiko yametuonesha dalili ikiwemo hii ya mauwaji na vifo vya ghafla
 
Huyo mzee naye alikuwa mzembe, unaachaje watoto wanapiga hadi kuchomana visu na ww upo hapo unaangalia tu. Alitakiwa pale tu walipoanza kutoleana maneno aingilie kati na kuwatengenisha madhara yake ndiyo hayo sasa. Anyway RIP kijana
 
Ndio ! Hakuna anayejua siku wa saa lakini maandiko yametuonesha dalili ikiwemo hii ya mauwaji na vifo vya ghafla
Haya madogo madogo tu. Huko Columbia na Mexico watu wanachinjana kila soku wanaondolewa vochwa wanatundikwa kwenye madaraja na wauza madawa tangu miaka ya 90 na bado dunia haijaisha 🤣🤣.
 

 
Mungu wangu!!! Tena?? Mbona ni kama roho za mauti zimeachiliwa jamani, af cha kushangaza wanaofanya tukio wanapatikana tena kirahisi tu..
 
Haya madogo madogo tu. Huko Columbia na Mexico watu wanachinjana kila soku wanaondolewa vochwa wanatundikwa kwenye madaraja na wauza madawa tangu miaka ya 90 na bado dunia haijaisha [emoji1787][emoji1787].
Unapoambiwa zama za mwisho dont think of 10 - 20 years to come. Kwa sasa unaona jambo la uzinzi na wanawake kutembea uchi lilivyo? Bas jua ni bado sana itafika wakati uzinzi utakua unafanyika barabarani na wanawake watatembea uchi kabisa na hapo ndo hasira ya mungu itashuka
 
Ni laana hiyo ni vema turudi kwa Mungu kwa toba nzito..hivi vitu havijawahi kutokea ktk nchi yetu.
Upendo umepoa KIU YA KUMWADA DAMU TU INAENDELE
Hebu shitukeni mtaumana na kumalizana.
Yaani mtu akikuudhi tu anakula panga damu inamwagika.
Kuna kitu kimefanyika kwenye ardhi yetu cha kiroho kinadai DAMU
 
itakuwa walimuua yule mtu damu inawatafuta inanzia mbali hivi jamani khaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…