ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

Bora 17/3 tulifika pabaya Sana walijifunza toka kwa mporaji mkuu.
Inatakiwa wananchi wote waliopigwa pesa zao kwenye akaunti wafungue kesi wazistaki bank kisha bank ziwashtaki waporaji waporaji wafilisiwe si wanajulikana maaana waliamini mungu wao atokufa.
Ushahidi wa camera kwenye bureau de change si waporaji wanaonekana.
Hii ni kagame staili mwendazake alijifunzia kule
 
Huyu askari ni afande Jumanne, sijui kama ataapishwa mahakamani maana alikula kiapo cha uaskari lalini kakivunja! Je, mahakama itamuamini kwenye hiki kiapo cha muda mfupi? Nadhani akina kibatala watapinga kuapishwa kwake.
Aiseeh
 
Hataree
 
Kama waliweza kuweka pembe za ndovu kwenye mzinga ili wapige hela ya mstaafu watashidwa kutengeneza kesi kuwafurahisha maboss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…