Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hela anayo,hayo mafao ya 75mil ilikua ni miaka 20 nyuma mkuu.Kumbe yuko vzur,ndo maana hata hela za kustafu hajawah zigusa.
Lakini mbona mafao yake ni kiduchu hvyo,mil 75 tu
Anashindaga na mahindi ya kuchoma. Hawa ndio wale wanaitwa wealthy siyo rich.Hela anayo,hayo mafao ya 75mil ilikua ni miaka 20 nyuma mkuu.
Ila ni bahili kichizi kumkuta anakula wali wa buku na maharage kwa mama ntilie ndio kawaida yake afu ndio aje ampe mtu rushwa ya mil 100?Itakua ilimuuma kinyamaaaaa.
Ndio tunaishi nao hao polisi huku uraiani. Wanaeweza kufungua punda, ng'ombe etc wanampeleka kituo cha polisi, ukienda unaambiwa mifugo wako wamegonga gari, na gari lipo gereji. Unatakiwa kutoa laki tatu za matengenezo, usipotoa mifugo/mfugo wako wanateswa kwa njaa na wewe unawekwa ndani.Waliposikia Magufuli amefariki wakajua ndiyo muda wa kula rushwa sasa.
Maeda bana anadai hadi mzinga wake wa nyuki polisi waliochukuwa wamrudishie.Hela anayo,hayo mafao ya 75mil ilikua ni miaka 20 nyuma mkuu.
Ila ni bahili kichizi kumkuta anakula wali wa buku na maharage kwa mama ntilie ndio kawaida yake afu ndio aje ampe mtu rushwa ya mil 100?Itakua ilimuuma kinyamaaaaa.
ππππ mzee ni bahili kinyama yule mkuu.Maeda bana anadai hadi mizinga wake wa nyuki polisi waliochukuwa.
Atawapa hao polisi wakati mgumuMaeda bana anadai hadi mizinga wake wa nyuki polisi waliochukuwa.
Hahahah kweli we unamjua mkuu.Anashindaga na mahindi ya kuchoma. Hawa ndio wale wanaitwa wealthy siyo rich.
Ni billionaire hadi uswiz ana account na hela nyingi.
Kuna miaka ya nyuma majambazi walimvamia kwake wakamkuta na elfu hamsini tu baada ya kusearch sana. Walimmaindi kwa kumuwasha vibao kadhaa na kumpa onyo kali siku nyingine awe anakaa na hela nyingi nyumbani.ππππ mzee ni bahili kinyama yule mkuu.
Namfaham sana mzee maeda nishafanya kibarua kwake. Yuko straight na mambo yake. Ni msomi na ana IQ kubwa (intelligent). Ni mpole lakini ana authority. Hapendi kujionyesha yeye ni billionaire. Ila wabongo kwa kuchunguza tuwakagundua ile kushindia mahindi ya kuchoma hadharani ni kuzuga watu tukajua nyumbani kwake ana special menu anaandaliwa na mpishi maalum. Kwenye shelves kumejaa jack danieles, coniaks, masmirnoff na whisky za ghali.Hahahah kweli we unamjua mkuu.
Eti huyo ndio atoe 100mil ya rushwa?mwafaaaaaaaa.
Hahah kwamba mzee alijiona mjanja kuzuga kula mahindi mahadharani kumbe wabongo wanamchora tu huku wakijua mpunga anao wa kutosha tu.Namfaham sana mzee maeda nishafanya kibarua kwake. Yuko straight na mambo yake. Ni msomi na ana IQ kubwa. Ni mpole lakini ana authority. Hapendi kujionyesha yeye ni billionaire. Ila wabongo kwa kuchunguza wakagundua ile kushindia mahindi ya kuchoma hadharani ni kuzuga watu tukajua nyumbani kwake ana special menu anaandaliwa na mpishi maalum. Kwenye shelves kumejaa jack danieles, coniaks, masmirnoff na whisky za ghali.
Mbongo ni mtu hatari na wa ajabu. Hata ukijaribu vipi kujidisguise atakujuwa tu. Yani mambo ya kiumbeambea umbea mbongo ni hodari sana ndo maana TISS wanafanikiwa kirahisi sana kugather intelligence information kutokana na umbea umbea wa bongo.Hahah kwamba mzee alijiona mjanja kuzuga kula mahindi mahadharani kumbe wabongo wanamchora tu huku wakijua mpunga anao wa kutosha tu.
Nitajie majina yao PM matendo hayo hayavumiliki watumishi kama haoMwez wa 12 Iringa Polis wamemfanyia jamaa yangu mmoja kitu kama hiki cha kihuni
Almanusura Auze nyumba. Na mteja alikua anatafutwa.....Sema connections kadhaa zikasaidia. Ila bado wako kazini. So sad yan
mhOCD hapo Usa anapaswa aondolewe haraka. Ni mla rushwa mkubwa sana
Kama Gwajima na uaskofu wake kakalia kiti cha ubunge alichokipata kwa dhuluma kwa kupitia kura fake ujasiri wa kumshauri mwenzake asitoe rushwa ataupata wapi?.Huyu ndiye Gwajiboy alimzungumzia?
View attachment 1765503
Alikua na hela nyingi zaidi ya hiyo sema bank ilikuepo hiyo ukiweza kukopa 30m kwa mtu faster jua ana mfumo wa kupata pesa mzuri tuu...Hizo pesa tangu astaafu miaka 20 iliyopita hazijaongezeka wala kupungua?
Ila katika yote polisi ni kazi iliyolaaniwa.
Hata ndugu yako akiwa polisi ukipata shida lazima atakuchomoa pesa kupitia polisi mwenzake