ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

Uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii

Majambazziiiiii hayoooo yauwawe
Walahi tushajua dawa yenu

Ole wako uniombe rushwa
Uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii

Lazima niwanyooshe mbwa nyie

Kesho naingia road wale wapuuzi wanaotaka hela lazima niwafukuze kaz
Pumbavu kabsaa
 
Hatari sana nchi kuwa na mapolisi ambao ni majambazi na vibaka.
 
Kumbe yuko vzur,ndo maana hata hela za kustafu hajawah zigusa.
Lakini mbona mafao yake ni kiduchu hvyo,mil 75 tu
Hela anayo,hayo mafao ya 75mil ilikua ni miaka 20 nyuma mkuu.

Ila ni bahili kichizi kumkuta anakula wali wa buku na maharage kwa mama ntilie ndio kawaida yake afu ndio aje ampe mtu rushwa ya mil 100?Itakua ilimuuma kinyamaaaaa.
 
Anashindaga na mahindi ya kuchoma. Hawa ndio wale wanaitwa wealthy siyo rich.

Ni billionaire hadi uswiz ana account na hela nyingi.
 
Waliposikia Magufuli amefariki wakajua ndiyo muda wa kula rushwa sasa.
Ndio tunaishi nao hao polisi huku uraiani. Wanaeweza kufungua punda, ng'ombe etc wanampeleka kituo cha polisi, ukienda unaambiwa mifugo wako wamegonga gari, na gari lipo gereji. Unatakiwa kutoa laki tatu za matengenezo, usipotoa mifugo/mfugo wako wanateswa kwa njaa na wewe unawekwa ndani.
Polisi wa bongo ni katili kuliko wale wa Israel zama za Yesu
 
Hela anayo,hayo mafao ya 75mil ilikua ni miaka 20 nyuma mkuu.

Ila ni bahili kichizi kumkuta anakula wali wa buku na maharage kwa mama ntilie ndio kawaida yake afu ndio aje ampe mtu rushwa ya mil 100?Itakua ilimuuma kinyamaaaaa.
Maeda bana anadai hadi mzinga wake wa nyuki polisi waliochukuwa wamrudishie.
 
Hahahah kweli we unamjua mkuu.

Eti huyo ndio atoe 100mil ya rushwa?mwafaaaaaaaa.
Namfaham sana mzee maeda nishafanya kibarua kwake. Yuko straight na mambo yake. Ni msomi na ana IQ kubwa (intelligent). Ni mpole lakini ana authority. Hapendi kujionyesha yeye ni billionaire. Ila wabongo kwa kuchunguza tuwakagundua ile kushindia mahindi ya kuchoma hadharani ni kuzuga watu tukajua nyumbani kwake ana special menu anaandaliwa na mpishi maalum. Kwenye shelves kumejaa jack danieles, coniaks, masmirnoff na whisky za ghali.
 
Namfaham sana mzee maeda nishafanya kibarua kwake. Yuko straight na mambo yake. Ni msomi na ana IQ kubwa. Ni mpole lakini ana authority. Hapendi kujionyesha yeye ni billionaire. Ila wabongo kwa kuchunguza wakagundua ile kushindia mahindi ya kuchoma hadharani ni kuzuga watu tukajua nyumbani kwake ana special menu anaandaliwa na mpishi maalum. Kwenye shelves kumejaa jack danieles, coniaks, masmirnoff na whisky za ghali.
Hahah kwamba mzee alijiona mjanja kuzuga kula mahindi mahadharani kumbe wabongo wanamchora tu huku wakijua mpunga anao wa kutosha tu.
 
Hahah kwamba mzee alijiona mjanja kuzuga kula mahindi mahadharani kumbe wabongo wanamchora tu huku wakijua mpunga anao wa kutosha tu.
Mbongo ni mtu hatari na wa ajabu. Hata ukijaribu vipi kujidisguise atakujuwa tu. Yani mambo ya kiumbeambea umbea mbongo ni hodari sana ndo maana TISS wanafanikiwa kirahisi sana kugather intelligence information kutokana na umbea umbea wa bongo.

Laiti tungekuwa hodari hivi kutumia umbea wetu kusaka siri za kuinua uchumi na elimu kwenye taifa letu tungekuwa mbali.
 
Mwez wa 12 Iringa Polis wamemfanyia jamaa yangu mmoja kitu kama hiki cha kihuni

Almanusura Auze nyumba. Na mteja alikua anatafutwa.....Sema connections kadhaa zikasaidia. Ila bado wako kazini. So sad yan
Nitajie majina yao PM matendo hayo hayavumiliki watumishi kama hao
 
Hizo pesa tangu astaafu miaka 20 iliyopita hazijaongezeka wala kupungua?
Ila katika yote polisi ni kazi iliyolaaniwa.
Hata ndugu yako akiwa polisi ukipata shida lazima atakuchomoa pesa kupitia polisi mwenzake
Alikua na hela nyingi zaidi ya hiyo sema bank ilikuepo hiyo ukiweza kukopa 30m kwa mtu faster jua ana mfumo wa kupata pesa mzuri tuu...
 
Back
Top Bottom