ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

Hela anayo,hayo mafao ya 75mil ilikua ni miaka 20 nyuma mkuu.

Ila ni bahili kichizi kumkuta anakula wali wa buku na maharage kwa mama ntilie ndio kawaida yake afu ndio aje ampe mtu rushwa ya mil 100?Itakua ilimuuma kinyamaaaaa.
Mimi n bahili kwasasa,ila nkifikisha 45+ sitataka kuwa bahili tena lazma nizitumie ipasavyo
 
Alietoa na aliepokea rushwa wote ni wahalifu, mzee nae alitakiwa awe ndani wakati uchunguzi ukiendelea, haiwezekani profesa mzim ukatoa rushwa kirahisi hivo bila kua na uhalifu wowote,

Inafikilisha hii isije ikawa anajifich kwenye kivuli cha uzee kuficha maovu
 
Polisi wengi hasa hawa wapelelezi wanaUKWASI wa kutisha sana. Shida ni maadili ya kazi yamepotea sasa askari mdogo anatumwa na mkuu wa kituo akamchukulie rushwa unadhani kuna maadili tena hapo. Vituo vingi vya polisi vimekuwa mahala pa kuchukulia hela. Mfano hapa kimara mwisho ni rushwa tupu hakuna uadilifu tena. Serikali ingelisafisha jeshi la polisi kwa ujumla wake.
 
...Nimvekwazika kidogo hapo Mkuu. Kama huyu Profesa naye alikuwa ni Msafi na hana Mazonge zonge yoyote, kwa nini alitaka kuwapa hao makalamba hela yote hiyo wakati moyomi ansjua yupo safi na hana kosa lolote?
Inafikirisha. [emoji848][emoji848]
Mzee kama huyo aliogopa kupewa kesi ya uhujumu uchumi akafikiria na reputation yake mbele ya jamii itakuaje akaona amalizane nao.

Lkn baada ya kutuliza kichwa akaona huu ni ujinga lazima nidili nao hawa.
 
Mil 100 unaona ni nyingi sana?

Hizo ni nyingi kwa wanyonge lkn ungemjua huyo dingi na mishe zake ungeona hio hela ni ya kawaida tu.
 
Wakishaiba Kura na kukandamiza upinzani wanaamini wao ndio wanaoifanya CCM iendelee kuwepo madarakani kwahiyo wwnaweza kufanya lolote
 
Tafuta CV ya Prof.J. Maeda. Utagundua ulichoandika umepoteza muda.
CV. peke yake haitoshi kuwa sababu ya yeye kushindwa kujihusisha na makosa ya kiuhalifu wa kutaka kupata pesa nyingi kwa muda mfupi na ukizingatia yupo jirani na hifadhi si mgeni na pembe za ndovu kuna wasomi wana CV nzuri lakini wanapiga dili mpaka unashangaa,ninachotaka kusema uchunguzi wa kutosha ufanyike na huyo Prof.asipoitwa na TAKUKURU kuhojiwa kwanini alijihusisha na kushawishi na utoaji rushwa kama sheria inavyosema mtoaji na mpokeaji wote wana kosa la kujibu hapo tutakuwa na safari ndefu ya kupambana na kuzuia vitendo vya rushwa ambapo mpaka msomi ambaye Prof.aliyetumikia taifa kwa muda mrefu mpaka amestaafu leo hii anaongozana na watu kwenda benki kutoa pesa na kutoa hongo ili asifikishwe mahakamani inasikitisha sana.
 
Angesemeaga 250m ndio ako wamechukua
Wizara Katiba Na Sheria kuna mutu inalalamikaga kuhusu @takokuru tanga please report the case and save the community
 
Mbona ako amesha-justify kwanini vile alikubali kuwapa iyo pesa wako wanaidemand? You better listen to understand before rushing into arguments
 
Mbona ako amesha-justify kwanini vile alikubali kuwapa iyo pesa wako wanaidemand? You better listen to understand before rushing into arguments
 
Mbona ako amesha-justify kwanini vile alikubali kuwapa iyo pesa wako wanaidemand? You better listen to understand before rushing into arguments
Wakat anakusanya izo hela mda wote huo alishindwa kuwasiliana na takukuru ili awakamatishe mazima kuliko kutoa then kulud mda mwingine ambapo ushahidi ushapotea, uyu mzee kuna kitu nyuma ya pazia, ila kwa sababu ana mkwanja mrefu ndo maana unaona yupo kitaa anakula zake bata tu [emoji23][emoji23][emoji23]but kiuhalisia kwa makosa ya rushwa alitakiwa nayeye awe nyuma ya nondo
 
Acha uporipori, mtu kafanya kazi za uhakika na zenye malupulupu kibao kwa zaidi ya miaka hamsini + biashara binafsi kuwa na milioni 100 kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…