Arusha: Baba atafutwa na jeshi la polisi kwa kumlazimisha mwanafunzi amlawiti

Arusha: Baba atafutwa na jeshi la polisi kwa kumlazimisha mwanafunzi amlawiti

Uko sahihi kabisa hao wamekataana kujitetea lakini ajabu sasa yani dogo ndio kamsukuma tope mbaba ila kuchechemea kachechemea yeye hii ki CAG imekaaje kaaje hii
Hlo swali gum mkuu kwakweel maswali nimengi kuliko majibu.eti kinamama wakaungana kumpeleka kijana hsptal hatjaskia habari za mjumbe wamtaa au mkit
 
Bruh adjee arifu..

Hatupati story yoyote majukwaa yamepoa 😂

Kwenye video dogo anadai ety hajala wala kunywa maake alikuwa na njaa na asubuhii jamaa akampikia chai, astakafirullah 😂 secretarybird
sio kazi ndogo bao Moja ni umetembea kilomita 14 ,Sasa jiulize usiku mzima dogo kazini na umri huo miaka 16 ,ndo amebikiriwa Tena vibaya sana
 
Mwenyekiti wa Kijiji hicho anasema kuwa Baba huyo amekuwa akiishi mwenyewe kwenye nyumba ya nani? Alipanga au ni nyumba yake? na baada ya kutokea Kwa tukio hilo ametoroka na hajulikani alipo.
Kama nyumba ni yake tutangaze mnada atarudi tu
 
Back
Top Bottom